Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
π itafika zamu yako labda uwe mtakatifu vinginevyo utatendewa kwa kiasi kile kile unachotendea wengine.Wanandoa wanatutania wadau wao πππ
Niko makini atakayechepuka ninaye lazima mwenzi wake ajue
Huyo mume achana nae atakulaza njaaYa ghafla kabla mume hajakimbia πππ
Me mvivu kubadilisha wapenzi nikiwa na mmoja bas ni huyo huyo ππππ itafika zamu yako labda uwe mtakatifu vinginevyo utatendewa kwa kiasi kile kile unachotendea wengine.
Alafu jana nilikuona mitaa fulani unapalilia maneno, yani weweπ
Wewe jirani sasa nitamchukua nani na waliobaki wote nawaona km π€‘Huyo mume achana nae atakulaza njaa
kumbe watu tuna mikia πMe mvivu kubadilisha wapenzi nikiwa na mmoja bas ni huyo huyo πππ
So nikila kiapo ndo nitolee nna kinyaa cha kuchungulia mikia ya watu. π€£
Si unajua vita vya panzi, bahati yao simu iliisha chaji nisingetoka mpk nione mwisho wao ππ
π kwamba huoni mwingine sio, haya tuchange ili tuje tuchangiwe ikifika zamu yetu.Wewe jirani sasa nitamchukua nani na waliobaki wote nawaona km π€‘
Haya mambo ya michango ya harusi sijui send off siyapendii, mama angu nilishamuambia kabisa ikitokea naolewa sitaki shereheee, wala sitaki kusumbua watu, hii kitu naonaga ni kusumbua tu watu, labda nina roho mbaya afu sijijui [emoji23], harusi yenu mnaenda kuishi nyie ila kuwasumbua watu wakuchangie eboo.
Ujinga tu.
mtu anataka achangiwe sendoff bajet million 10
wakati hana hata kazi ya kufanya, anaenda kuwa mama wa nyumbani π€£π€£π€£