Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

Kwa nini dunia haitaki kuona na inajifanya ni kipofu kwa kile ambacho kinaweza kwenda kuitokea Ukraine?

Bado naendelea kuombea amani lakini naliona Giza la maumivu makali na vilio visivyokauka juu ya ardhi ya Ukraine, eeh Mungu epusha ulilonionesha.
Maombi yako yameanza kufanyiwa kazi, soon Russia atatoa mapepo yake hapo Ukraine.
 
Kwa nini dunia haitaki kuona na inajifanya ni kipofu kwa kile ambacho kinaweza kwenda kuitokea Ukraine?

Bado naendelea kuombea amani lakini naliona Giza la maumivu makali na vilio visivyokauka juu ya ardhi ya Ukraine, eeh Mungu epusha ulilonionesha.
Hilo giza na vilio ulivyoviona kwa Ukraine, ni tofauti na mambo yanakoenda. Giza zito na vilio vinakimbilia Russia.
 
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.

Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.

Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.

ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.

Ukraine must now take the war into Russia

Wapigwe tu hawo wchokozi hakuna namna, tumechoka na vita.
 
Ni muda muafaka wa kufumua pentagoni
Putin sasa anawindwa kama mnokela!
Alitoka kwenye bunker kichwa size ya commernder Zele...
Screenshot_20230925_190637.jpg
Screenshot_20230925_190843.jpg

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sasa wa democrats, chini ya Biden, wanatafuta Vita ya Tatu ya Dunia Kwa nguvu zote wanazoweza.

Angalia Wanachokifanya Pale Taiwan - China .

Ukraine-Urusi...

Demos, uchaguzi wa mwakan hawatoboi, Sasa wameamua kuchagua njia ya Nguvu
 
Usifikiri US inaendeshwa kama TZ inavyoendeshwa na CCM, kule ni taasisi zinazotanguliza maslahi ya nchi ndio zenye kuongoza taifa.
 
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.

Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.

Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.

ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.

Ukraine must now take the war into Russia

kwahiyo mpk ss yeye Urusi anahisi ana haki ya kuua waukraine ila waukraine hawana haki ya kujitetea ?
 
Putin sasa anawindwa kama mnokela!
Alitoka kwenye bunker kichwa size ya commernder Zele... View attachment 2762127View attachment 2762128

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Mahesabu ya Ukraine sijui yanapigwa kwa base gani. Kama ni base ten basi Urusi isingekuwepo tena.
Kwa ufupi Ukraine ni waropokaji sana ili kujitetea kwa mabwana zao.
Mbona habari za Roboynite kuelekea bahari ya Azov zimefifia,Siku zile wanakaribia kukimbia Bakhmut wakati wa Prigozhin wao walikuwa wanatangaza wameshaizunguka Bakhmut kama mwezi mchanga bado robo tu waizingire yote.Kumbe !
 
Back
Top Bottom