4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
na hakuridhika akataka ivamia ukraine yoteHesabu alizopigiwa mrusi hatimae zimetimia. Kosa kubwa mno na zito ni pale Putin alipoivamia Crimea kwa mabavu na kuichukua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hakuridhika akataka ivamia ukraine yoteHesabu alizopigiwa mrusi hatimae zimetimia. Kosa kubwa mno na zito ni pale Putin alipoivamia Crimea kwa mabavu na kuichukua.
Iko sawa kabisa.Yule jamaa katumiwa na nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha Urusi tena kwa kuvunja makubaliano ya usuluhishi wa muda mrefu. Ukiwa mwanamume huwezi kumuachia jambazi avunje mlango aingie nyujmbani kwako.ila uliona sw warusi kuivamia ukraine?
ww ni kilaza na hujijui , unapojadili mambo bakia kwenye mstar wa haki na sio historia ya ubabe dhidi ya mwingine haikup haki ya kuendelea kumuonea mwenzioungekuwa unajua kwa undani kuhusu ASEAN na siasa zake ningebishana na wewe. Since you know nothing, unajua kile unachoona kwa macho tu, I do let you continue swimming in your ignorance.
kwamba tangu 2014 ndo unaiona leo? baada ya Urusi kuanza kupigwa kwakeKwa nini dunia haitaki kuona na inajifanya ni kipofu kwa kile ambacho kinaweza kwenda kuitokea Ukraine?
Bado naendelea kuombea amani lakini naliona Giza la maumivu makali na vilio visivyokauka juu ya ardhi ya Ukraine, eeh Mungu epusha ulilonionesha.
sasa hv sio SMO [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi vita vitachukua muda mrefu kufikia muafaka!
ila wanalia kila sikuUrusi sio zimbabwe
Kama Marekani anavyoona ni sawa kuipa Ukraine silaha inazopenda lakini anawatisha wanaotaka kuipa silaha Urusi.Eti wanavunja maazimio fulani fulani.kwahiyo mpk ss yeye Urusi anahisi ana haki ya kuua waukraine ila waukraine hawana haki ya kujitetea ?
Mabepari ndiyo yanayoendesha UsUsifikiri US inaendeshwa kama TZ inavyoendeshwa na CCM, kule ni taasisi zinazotanguliza maslahi ya nchi ndio zenye kuongoza taifa.
Hakuna unachokijua hapa sio size yenu machawa!!!ungekuwa unajua kwa undani kuhusu ASEAN na siasa zake ningebishana na wewe. Since you know nothing, unajua kile unachoona kwa macho tu, I do let you continue swimming in your ignorance.
Marekani Hii hii au kuna nyingine?? Marekani imewaua watu hapa Afrika kwa maelfu kupindua serikali kibao na kuua viongozi wetu wazuri wote...Akina Sankara..Gadafi...Biko...Samora...Lumumba na hapo hujagusa Vita wamefadhili na kuua mpaka leo Congo ..central afrika hao marekani hao..Huna hata haya kusema wanapenda haki..Watu waliokufa Juzi libya elf 20000 wote ni ushetani wa hao mnaosema wanapenda haki wakiua Rais wa Libya wakaacha nchi inawela wela..Msijifanye Vichaa nyie watuMarekani anapenda haki, anapenda kuweka mizania sawa. Kama urusi anapiga ndani ndani yafaa Ukraine naye awezeshwe apige ndani ndani pia. Good idea.
Wenyewe hawataki kubali kuwa wameshindwaPutin sasa anawindwa kama mnokela!
Alitoka kwenye bunker kichwa size ya commernder Zele... View attachment 2762127View attachment 2762128
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hakuna vita ya 3Kwa Sasa wa democrats, chini ya Biden, wanatafuta Vita ya Tatu ya Dunia Kwa nguvu zote wanazoweza.
Angalia Wanachokifanya Pale Taiwan - China .
Ukraine-Urusi...
Demos, uchaguzi wa mwakan hawatoboi, Sasa wameamua kuchagua njia ya Nguvu
Alitarajia iwe nyepesiPutin alaaniwe kwa kuanzisha hivi Vita.
Marekani hii hii mkuu. Imetenda haki huko Ukraine. Maana bila Marekani tungesha acha kuiongelea hii vita siku nyingi. Maana Putin angesha iteka siku nyingi na kuweka raisi mamluki.Marekani Hii hii au kuna nyingine?? Marekani imewaua watu hapa Afrika kwa maelfu kupindua serikali kibao na kuua viongozi wetu wazuri wote...Akina Sankara..Gadafi...Biko...Samora...Lumumba na hapo hujagusa Vita wamefadhili na kuua mpaka leo Congo ..central afrika hao marekani hao..Huna hata haya kusema wanapenda haki..Watu waliokufa Juzi libya elf 20000 wote ni ushetani wa hao mnaosema wanapenda haki wakiua Rais wa Libya wakaacha nchi inawela wela..Msijifanye Vichaa nyie watu
ungekuwa unajua kwa undani kuhusu ASEAN na siasa zake ningebishana na wewe. Since you know nothing, unajua kile unachoona kwa macho tu, I do let you continue swimming in your ignorance.