Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

Yeye kuwa dhalimu inakufanya wewe kuwa malaika?

Kwa imani ya RC the Magu is clean "toba kabla ya kufa na mpako wa wagonjwa.."..

Jitahidi usijefia guest na mchepu ukakosa nafasi ya kutubu aliyoipata the Magu..

Mimi hata nisipokuwa malaika poa tu maana sijifanyi mcha Mungu, wala silazimishi kupendwa. Yeye sasa.
 
Hamna haja ya kuchukiana kiasi cha kuuana, njia nzuri ya kumuenzi Magufuli ni kuwa na maridhiano kama Taifa ili tudumishe upendo na amani kwaajili ya ustawi wa nchi yetu.
Alichoandika mwenzie ndio sura yenu halisi,
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Unafanya kazi wapi
 
Ni kawaida

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada umenena ukweli mkubwa sana na ccm kwa sasa wapo ktk vita yao ya ndani.
Acha wamalizane kwanza wao kwa wao!
Dhambi na uovu waliyoifanya ktk uchaguzi wa 2020 Mwenyezi Mungu ndie atawalipa kwa laana ile walioileta ktk Taifa hili.
 

Wacheni kujidanganya nyie, Kumalizana na John Pombe Magufuli itawachukua karne nzima na zaidi....

Magufuli alikua wa CCM ameondoka kimwili lakini kifikra anaishi ndani ya mioyo ya Watanzania, na CCM imara pamoja na serikali makini alivyojenga bado ipo chini ya uongozi makini aliouacha wa Rais Samia Suluhu Hassan 😍🇹🇿🔥



Hongera sana kwa CCM hakika wa kuwaondoa marakani atafute kitanda alale tuu maana atasubiri karne

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan 🇹🇿😍🔥

Apumzike kwa amani Dr John Pombe Joseph Magufuli💔🙏
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Magufuli alikua wa CCM ameondoka kimwili lakini kifikra anaishi ndani ya mioyo ya Watanzania, na CCM imara pamoja na serikali makini alivyojenga bado ipo chini ya uongozi makini aliouacha wa Rais Samia Suluhu Hassan 😍🇹🇿🔥



Hongera sana kwa CCM hakika wa kuwaondoa marakani atafute kitanda alale tuu maana atasubiri karne

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan 🇹🇿😍🔥

Apumzike kwa amani Dr John Pombe Joseph Magufuli
 
Sasa hivi nakuendelea Magufuli atawatesa sana hao wahuni maana hawataweza kumuumiza wala kumuua tena😭!
 
Sasa hivi nakuendelea Magufuli atawatesa sana hao wahuni maana hawataweza kumuumiza wala kumuua tena😭!

Muda si mrefu utasikia heri yule baba

Madame President Samia Suluhu Hassan pole kwa msiba mama. Tunakuombea afya njema uje uendeleze ili michakato yenu na mwamba. Uzuri ulishamwambiaga mwamba apumzike kwa kumthibitishia kwamba umenyooka na unaweza kutunyoosha💪
 
Umsifu kwa lipi?? Mama samia na Magufuli ndio waliuza ilani ya ccm, usitegemee upenyo kama mlivyojidanganya hadi kuanza kula mbegu za mitaji yenu ya biashara kwa kukesha mkinywa. Kodi iko palepale, na Mama Samia kawambia jana yeye ndiyo rais wa Tanzania.

Mlifurahia mkidhani kuna uchaguzi. Jipangeni sawasawa mama atawanyoa bila maji
 
Halafu futeni madai ya kuibiwa kura, wanaomsindikiza Magufuli ndiyo waliompigia kura. Subirini 2025 mtajuta kuwa na chama
 
Wapinzani kwa sasa hakuna kuna wahuni tu! Walikuwa na upinzani wa kweli wameshahamia CCM au kwa sasa hawana chama!
Unadhani wanaCCM wote walikuwa wanampenda Magufuli?

Ni kweli mwanzoni tulimpenda, lakini alipokengeuka akawa dikteta tulimchukia.

Hata Madam Samia afuate mazuri ya Magufuli tu... Udikiteta wa Magufuli asifuate kabisa! Asipozingatia ushauri huu...atakuja kujuta!

Watanzania hatutaki kabisa Udikiteta. Hatutaki kutawaliwa kama ng'ombe. Hatutaki kabisa.
 
Magufuli alikuwa amepanda mbegu mbaya sana nchi hii! Sasa kama kuna vijana wenye akili kama yako,kama utawala wake ungeendelea,nchi hii ingewaka moto si muda mrefu.

Vijana wa aina yako ndio mmesababisha Mungu akomeshe utawala wa Magufuli kwa mawazo yenu ya uovu!
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Mtindio wa ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…