Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Akituma lolote la maana mm nalikata gogo hapa hapa stendi. Hawa wenzetu wanaamin vijana mmeweka nguvu mitandaon kama ndo reliable source of information. Anachokwambia mbanga wako ndo cha muhimu huku kil mtu anasema anachofikiria yeye kinafanana n kweliMkuu tunasubiria
Sidhan kama orjoro inapigisha round hiiVijana wa uraiani mtapiga depo oljoro pamoja na wa bms na wale wanaochukuliwa sababu ya michezo wakina kichuya mtakuwa nao
Uyu jamaa usikute anatak kuteka watu 🤔🤔Kesho saa 11 asubuhi nitatoa mbinu ya kumpata 2 star General fulani anasehemu yake moja pendwa huwa anaenda kiuficho na ukimbamba tu Hapo na kuna salamu ya dini moja ukimsalimia unaulainisha saana moyo wake na anaweza kukupa connection matata
Et salamu ya dini 😂😂🙌Kesho saa 11 asubuhi nitatoa mbinu ya kumpata 2 star General fulani anasehemu yake moja pendwa huwa anaenda kiuficho na ukimbamba tu Hapo na kuna salamu ya dini moja ukimsalimia unaulainisha saana moyo wake na anaweza kukupa connection matata
Kesho saa 11 asubuhi nitatoa mbinu ya kumpata 2 star General fulani anasehemu yake moja pendwa huwa anaenda kiuficho na ukimbamba tu Hapo na kuna salamu ya dini moja ukimsalimia unaulainisha saana moyo wake na anaweza kukupa connection matata
Kama yeye kashaenda kwa 2star general wake Aende tu waendeleee kusalimiana na salamu zao za dini😀😀😀 #MUNGU NI WETU SOTEEt salamu ya dini 😂😂
😬😬Round hii nisipopiga coz ya JW yaan nisipovaa bakabaka uzalendo wa nchi kwangu kwisha
YAaani ningekuwa nimefanya usahili za polisi afu majina yakatoka kuwili polic na jw nakimbilia Jw fasta ata waseme nnZa polisi nao kimya ? Kuna watu wataitwa mara mbili, bora za JW zianze mapema
Kumekuchaaa🤣🤣
Kumekuchaaaa😃😃😃Kumekuchaaa🤣🤣
Tatizo majina yaje yatoke upo CCP na simu umeshanyang'anywa hujui linaloendelea.YAaani ningekuwa nimefanya usahili za polisi afu majina yakatoka kuwili polic na jw nakimbilia Jw fasta ata waseme nn
Aaaaah wapiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo inafahamika nawapa attention wengne tu [emoji3]
Na ikiwa so kwel mkuu tukufanyaje ,,, mana tushachoka na r/lonjaTena la uhakika
Wao wanataka Mimbanga wapunwe hela