Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Na ni wengi wataishia kukitamani tu kama hawana mbanga..Watu wanatamani sana kile kitenge ππ½
Mkuu kwahyo mbanga wako amekupa update gani kuhusu simu kuita na meseji kuingia ni lini.Na ni wengi wataishia kukitamani tu kama hawana mbanga..
ππafande mwezi 6 na 7 apo watu wanaendaMkuu kwahyo mbanga wako amekupa update gani kuhusu simu kuita na meseji kuingia ni lini.
Kwahyo ni katkat ya mwez wa 6 na wa 7. unanikumbusha Jin's tulvokua tunapigwa kalenda mwakajana baada ya ile koz kuanza mwezi wa 5 tukaambiwa katkat ya mwezi wa 6 na wa 7 mtaitwa oljoroπ€£π€£π€£ππafande mwezi 6 na 7 apo watu wanaenda
Haya mambo haya hayajulikani ikweli ni upi.Kwahyo ni katkat ya mwez wa 6 na wa 7. unanikumbusha Jin's tulvokua tunapigwa kalenda mwakajana baada ya ile koz kuanza mwezi wa 5 tukaambiwa katkat ya mwezi wa 6 na wa 7 mtaitwa oljoroπ€£π€£π€£
Sio pw mzee tunaojua ngj tutulie tuHaya mambo haya hayajulikani ikweli ni upi.
Jambo gani mkuuKesho jioni nitakuwa na jambo langu na jamaa wa Ikuru
We unaonaje mkuu?Kwahyo mwakan mwezi kama huu utakua unapiga level 3 ausio mkuu[emoji3061][emoji3061]
Take note:6mwishon au 7 mpak mwishon usipokuwa kule tayar imepita iyoooo...Kwahyo ni katkat ya mwez wa 6 na wa 7. unanikumbusha Jin's tulvokua tunapigwa kalenda mwakajana baada ya ile koz kuanza mwezi wa 5 tukaambiwa katkat ya mwezi wa 6 na wa 7 mtaitwa oljoroπ€£π€£π€£
Hapa ndo umesema sasa π ..Take note:6mwishon au 7 mpak mwishon usipokuwa kule tayar imepita iyoooo...
Kupiganisha saiv akat mda ushaisha labda upate bonge la m buyu asee.π€£π€£ Lasivyo usubir mpk 2026Hapa ndo umesema sasa π ..
Watu wapiganishe sana kipindi hiki, kama kuna mtu anakiwanja chake, akiuze chap akapiganishe.
Atakipata baadae π
Tukutane kombania kakaaπ₯π₯Take note:6mwishon au 7 mpak mwishon usipokuwa kule tayar imepita iyoooo...
sasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?Kupiganisha saiv akat mda ushaisha labda upate bonge la m buyu asee.π€£π€£ Lasivyo usubir mpk 2026
Ukiwa humu ya kuchukua utachukua na ya kuacha acha Tu.sasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?
Muda wa kupiganisha KI-KAWAIDA ndo umeisha. Kama jina lako halipo kwenye PDF, basi tafuta mbuyu mkuuuubwa aanze kushindana ukubwa na wenzake waliotangulia. Na wakati huo, nawe uwe na hela ya kutosha πsasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?
Yaah huyu mwamba kanielewaπ€£π€£Muda wa kupiganisha KI-KAWAIDA ndo umeisha. Kama jina lako halipo kwenye PDF, basi tafuta mbuyu mkuuuubwa aanze kushindana ukubwa na wenzake waliotangulia. Na wakati huo, nawe uwe na hela ya kutosha
Watu watapigwa na kitu kizito soon. Haya mambo hutakiwi kuwa overconfident.Haya mambo hayaπππ
πππso kweli wadau bado nafasi ipo kuweni wapole kabisa presha haihitajiki pambana Mdogo mdogo kwa uncle,aunt, kote kote hakikisha unapata ila kama unavigezo!Muda wa kupiganisha KI-KAWAIDA ndo umeisha. Kama jina lako halipo kwenye PDF, basi tafuta mbuyu mkuuuubwa aanze kushindana ukubwa na wenzake waliotangulia. Na wakati huo, nawe uwe na hela ya kutosha π