Black Elon
Member
- Nov 2, 2023
- 93
- 116
Uhakiki wa vikosini umeisha jana hata majina bado hayajachambuliwa kwa wa vikosini lakini wa mtaani wanasema majina yashajaa. Mi siamini kama watu wa mtaani watapenyezwa kabla ya wa vikosini kuandikishwa kwanza.πππso kweli wadau bado nafasi ipo kuweni wapole kabisa presha haihitajiki pambana Mdogo mdogo kwa uncle,aunt, kote kote hakikisha unapata ila kama unavigezo!
Wenye vigezo ni wengi, hapo ni kutafuta sifa mbili za ziada; HELA NA MBANGA.. Kama hivi hamna, kutoboa inawezekana ila kwa mbinde sana. Tena utakuwa miongoni mwa wenye bahati dunianiβ¦ ππππso kweli wadau bado nafasi ipo kuweni wapole kabisa presha haihitajiki pambana Mdogo mdogo kwa uncle,aunt, kote kote hakikisha unapata ila kama unavigezo!
Ndo hapo sasa ko wamtaani bdo kabisa ndo muda wao sasa kutafuta mifumo kila kitu kinawezekana wasikate tamaa cha msingi ConnectionUhakiki wa vikosini umeisha jana hata majina bado hayajachambuliwa kwa wa vikosini lakini wa mtaani wanasema majina yashajaa. Mi siamini kama watu wa mtaani watapenyezwa kabla ya wa vikosini kuandikishwa kwanza.
Hii imekaa poa sana Sifa tu bila Mbanga ni Debe Tupu...Wenye vigezo ni wengi, hapo ni kutafuta sifa mbili za ziada; HELA NA MBANGA.. Kama hivi hamna, kutoboa inawezekana ila kwa mbinde sana. Tena utakuwa miongoni mwa wenye bahati dunianiβ¦ π
Wakati ndio huu.Ndo hapo sasa ko wamtaani bdo kabisa ndo muda wao sasa kutafuta mifumo kila kitu kinawezekana wasikate tamaa cha msingi Connection
Utaratibu wao kwa wa mitaani huwa upoje?Ndo hapo sasa ko wamtaani bdo kabisa ndo muda wao sasa kutafuta mifumo kila kitu kinawezekana wasikate tamaa cha msingi Connection
ππkila mtu na mbanga wake yaani mpaka kuripoti atakwambia mbanga.. wako hakuna maelezo ya WA mtaa ila ukifika pale kihangaiko utajiona kwenye ListUtaratibu wao kwa wa mitaani huwa upoje?
Au kila mtu asubiri mbanga lake limpe maelekezoπ
ππ Na kwenye usahili huwa wanaangalia vitu gani muhimu? au mbanga anakuwepo kusapport? mkuu Padone EPMππkila mtu na mbanga wake yaani mpaka kuripoti atakwambia mbanga.. wako hakuna maelezo ya WA mtaa ila ukifika pale kihangaiko utajiona kwenye List
π₯΄π₯΄π₯΄ππ Na kwenye usahili huwa wanaangalia vitu gani muhimu? au mbanga anakuwepo kusapport? mkuu Padone EPM
Kuna watu wataingia bila hata usahili mzee wanguβ¦ππ Na kwenye usahili huwa wanaangalia vitu gani muhimu? au mbanga anakuwepo kusapport? mkuu Padone EPM
Ungesomea Medical laboratory certificate tungeona namna hii yako subiri wajuzi watakuja kukupa muongozo...Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
Afya first vingine ni Mbwembweππ Na kwenye usahili huwa wanaangalia vitu gani muhimu? au mbanga anakuwepo kusapport? mkuu Padone EPM
Hii mara nying ni uongo ata asipofanya usahili ila afya lazima acheckKuna watu wataingia bila hata usahili mzee wanguβ¦
Dunia inamengi sana hii π
Na yeye ameulizia USAHILI, si afyaβ¦Hii mara nying ni uongo ata asipofanya usahili ila afya lazima acheck
Hapo kwenye afya wanapima nini na nini mkuuAfya first vingine ni Mbwembwe
Utavikuta uko uko Rts kiongozi wanapima mambo mengi yakawaida tuHapo kwenye afya wanapima nini na nini mkuu
Usahili umeisha Jana lakini kuisha kwa usahili sio kwamba usipiganie watu huwa wanaendelea kuingia depo hats siku karibia watu wanamaliza ninyi vijana mnaienda msata vyetu vyenu viwe vimekamilikasasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?
Tupe hints kuhusu vyetiUsa
Usahili umeisha Jana lakini kuisha kwa usahili sio kwamba usipiganie watu huwa wanaendelea kuingia depo hats siku karibia watu wanamaliza ninyi vijana mnaienda msata vyetu vyenu viwe vimekamilika
Bless mkuuUtavikuta uko uko Rts kiongozi wanapima mambo mengi yakawaida tu