Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hili Jeshi nalipenda sana 👏🏼
Alafu hili jeshi la zimamoto mbona kama ni tofauti na majeshi mengne, mbona huku zimamoto watu wanapanda vyeo fastafasta hivi mfano DCF kennedy komba mwaka2018 alikua na cheo cha superintendent of fire(mrakibu wa zimamoto na uokoaji SF) na kamanda mkuu wa jeshi la zimamoto mkoa wa arusha lakin sasahivi ana cheo cha deputy kamishna of fire(DCF) lakini pia kuna huyu DCF Gudluck zelote mwaka2018 alikua na cheo cha ASF(nyota3 ama mrakibu msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji) lakini sasahivi ni deputy kamishna of fire yani ndani ya miaka7 tayar vyeo vimepanda hivi!! Wakati nikija mfano upande wa polisi (PT) nikimuangalia kamanda David misime(msemaji wa jeshi la polisi Tanzania) mwaka 2018 alikua na cheo cha SACP(kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi) na sasahivi ndo DPC ( deputy kamishna of police) yani ndani ya miaka7 kapanda cheo kimoja tu…..Kuna siri gani uko zimamoto mbona utaratibu wa kupanda vyeo uko fasta hivi!😃
 
Jeshi lenyewe linaitwa zimamoto unategemea Nini? Mambo Yao lazima yaende kizima moto zimamoto.
 
Kwa maelezo haya hata wewe mwenyewe uliingiamo humo Kwa mchongo
 
Mimi ukiona ni mdogo lakini nna navaa ngao ya PT! Hadi wajeda wanamaindi, kazi sifanyi na kituoni siendi 😂 #FutureIGP
 
Mimi ukiona ni mdogo lakini nna navaa ngao ya PT! Hadi wajeda wanamaindi, kazi sifanyi na kituoni siendi 😂 #FutureIGP
Daah😂😂😂…..umenikumbusha kitu, mwaka jana kwenye usaili wa polisi tulifika kwenye zoezi la kuvua nguo kwa ajili ya ukaguzi wa mwili(hii ilikua ni kwa wanaume tu kwa wakati huo)….utaratibu ni kwamba mule ndani kulikua na sehemu kama4 za ukaguzi(yani ni pale hospital mnaingia kwenye wodi ambapo zimetengwa sehem kama4 na kila sehem ina afande ambae ndo anafanya ukaguzi) ukifika pale afande anakwambia vua nguo zote na ubaki kama ulivyozaliwa sasa imagine mtu anaekwambia hivyo ni mwanamke alafu na ww ni mtoto wa kiume hahahahh…..ulikua ukishaingia wodin unaambiwa tu ww nenda pale ww nenda kule, ww nenda huku kwahyo utakapoangukia kwa ukaguzi ndo apoapo unafanya, sasa kuna sehemu moja ya ukaguzi alikuwepo afande binti tu mdogomdogo ana nyota1 na yeye anafanya ilo zoezi la ukaguzi hahahahh walioenda kwake walikua wanalalamika maana ni binti tu mdogomdogo yani ukiangalia mtu mnalingana na wengne wanamzidi afande kiumbo la mwili alafu unamvulia nguo anakukagua kwa mbele then anakwambia geuka nyuma unamgeuzia na makalio daah😂😂😂…….mm nashukuru sikwenda kwake niliangukia upande mwingne ambapo alikua mmama na afande wa kiume.
 
Hahaha! Dah Hali ni mbaya asee kwa niliyoyaona hapa Dodoma kwenye usaili wa fire, vijana ni wengi balaa halafu nafasi zenyewe Sasa zinzotafutwa mhh!

Anyway acha watu watafute ugali!
 
NOW.....NIMEELEWA UGALI KUPATA NI KAZI KAMA HAKUNA MTU WA KUKUSAIDIA KULIMA MAHINDIII...KUNA MAHALI LEO WAMETEMWA KAMA 600+ KUTOKA KWENYE 1279😂😂😂
 
NOW.....NIMEELEWA UGALI KUPATA NI KAZI KAMA HAKUNA MTU WA KUKUSAIDIA KULIMA MAHINDIII...KUNA MAHALI LEO WAMETEMWA KAMA 600+ KUTOKA KWENYE 1279😂😂😂
Duh,wapi io??maana huku Leo imepigwa kata funua mpka watu hawaamini😆😆😅
 
MIM MWENYEWE NI MIONGONI WA BABA JANE BYE BYE
 
Hahaha! Dah Hali ni mbaya asee kwa niliyoyaona hapa Dodoma kwenye usaili wa fire, vijana ni wengi balaa halafu nafasi zenyewe Sasa zinzotafutwa mhh!

Anyway acha watu watafute ugali!
Zimamoto na uhamiaji hua wanachukua watu wachache sana….zimamoto sizani kama watachukua watu zaidi ya 450 kweny pdf la mwisho
 
NOW.....NIMEELEWA UGALI KUPATA NI KAZI KAMA HAKUNA MTU WA KUKUSAIDIA KULIMA MAHINDIII...KUNA MAHALI LEO WAMETEMWA KAMA 600+ KUTOKA KWENYE 1279😂😂😂
Na bado watatemwa tena…..hizi kazi bila kupata wa kukushika mkono kutoboa ni ngumu ukweli mchungu.
 
Na bado watatemwa tena…..hizi kazi bila kupata wa kukushika mkono kutoboa ni ngumu ukweli mchungu.
Ila leo kuna mtoto kazingua sana jana alivyopiga usaili alitoboa kila kitu ila leo amejawa na maji kashindwa kwenda kumalizia usaili eti kisingizio mvua wakati leo wenzio walikua wanafany mtihan na nondo zote alikua nazo.na wakaamua kumpigia simu kabis yaniii
 
Uyo mkoa gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…