Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Daaah bora uko mwanagu huku dar es Salam jana panga kama elfu moja miatano leo panga kama elfu na kitu daaaah
Iyo dar ni hatari kabisa image ilala walikua na pdf kama kumi na moja iv
 
Mim nilikuja arusha jana nimepiga usaili ni metokea dar mzee kesho nalud zangu kwetu
 
Mkuu kupigiwa simu sio sababu hao jamaa wanakauhuni sana….mm nakumbuka mwaka jana kweny usaili wa polisi baada ya kumaliza usaili pale kwa mkuu mkoa kila mtu aliondoka kwao kuna jamaa mmoja baada ya week1 akapigiwa simu akaambiwa aende kuna vitu vyake havijakaa fresh jamaa baada ya kuambiwa ivo yani usaili ushaisha week1 nyuma en then na simu kapigiwa basi akajua ajira ashapata na katoboa maana sio kwa kuzingatiwa uko hahahahah pdf la kwenda depo linakuja kutoka jamaa hayumo🤣🤣🤣……hizi kazi bila refaa wa kukuchezeshea kupata ni ngumu.
 
Umeamuwa kuuacha kuomba
Mwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.
 
Mwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.
Ila ulifight sana Polisi hebu niambie nyinyi kwenye swala la mbio ilikuwaje kwwenu
 
Mwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.
Ili bid hapambane mpaka tone la mwisho brooh
 
Ili bid hapambane mpaka tone la mwisho brooh
Nilipambana mkuu….usaili kwa Dodomo mpaka kufika hatua ya kwa mkuu wa mkoa sio mchezo mchezo yakupasa uwe umejipanga mzee
 
Ila ulifight sana Polisi hebu niambie nyinyi kwenye swala la mbio ilikuwaje kwwenu
Mabio kwa mfano sisi kwa upande wa wanawake ilikua ni round5 na wanaume ni round7…..sasa ayo mabio kwa wanaume mnaweza piga round zote7 alafu ukashangaa afande anasema amependa mnavyo kimbia hivyo anaomba muongeze round mbili kwa ajili yake apo ndo utajua hujui🤣🤣…..sisi tulipiga7 tukaongeza mbili, ila usaili ni kukamilisha ratiba tu mzee wanaoenda depo wanajulikana mm nakumbuka kweny usaili tulikua na mshikaji bonge sana yani watu mda wote wanamcheka yan kila mda maafande wanamuongelea yeye tu( we bonge we bonge) hata tulivyoingia pale ndani ofisi ya mkuu wa mkoa nakumbuka kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pale ndani wakaanza kumwambia kua ww na mwili huo utaweza kweli wakawa kama wanamkataa hivi😄 pia kwenye mabio alikua mwishonimwishoni lakin kwenye pdf la mwisho mwamba alikuepo nakumbuka ile siku pdf limetoka usiku yeye ndo alinitumia….now yupo ccp anapiga kozi, alikua mwanangu….jamaa alikua na maelekezo uyoo mbanga wake kashiba.
 
Maneno yako ni kweli kaka nimeamin ila ayo mabio ilikuw trouti au kukimbizana
 
Mabio utaratibu ni trouti ila kuna watu watafanya iwe ni kukimbizana mwisho wa siku inakua ni kukimbizana
Maneno yako ni kweli kaka nimeamin ila ayo mabio ilikuw trouti au kukimbizana
 
Eti mrakibu wa polisi! Wakiniona uwanjani nnavyocheza Kibajaji, ROHO zinawauma #SP🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…