Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Msata kazi imeisha leo
 

Attachments

  • DSC_0144.JPG
    239.4 KB · Views: 46
  • DSC_0145.JPG
    388.4 KB · Views: 34
  • DSC_0143.JPG
    325.9 KB · Views: 45
Msata kazi imeisha leo
Kwa zama hizi sisi watoto wa maskini mambo hayo ni yakusikia na kuona kama hivi.

Hongera kwa vijana wote wa kundi la 43/24 walioweza kuhitimu mafunzo hayo.
Pengine system isingekuwa rigged, ningekuwa miongoni mwa walioapa siku ya jana.

 
Ilo limeisha sasa tusubiri lonja za tangazo jipya
 
Anaonekan ni mtu wa system kabisa man
Mkuu wewe ni Afande nini maana una data zote za huko ndani kwenye system
Kun day alisema hakun bog la orlojoro mtasikia watu wanakula kiapo cha utii... Na nikweli😂😂🫴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…