Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
-
- #381
Cha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)Tupe hints kuhusu vyeti
Ngoja waje wanaojua vinavyopimwa huyu ndugu yetu labd haijui RTSBless mkuu
Na nida pia au sio mzeeCha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)
NB MUHIMU: hakikisha, hukosi cheti cha KUZALIWA, LA SABA na LEAVING CERTIFICATE ya FORM FOUR…
Na vyote hivi, majina yafanane..Kama vimetofautiana, karekebishe mapema kabla mkeka haujatema (Usiseme hujaambiwa) 😀
Affidavits zipo mkuu🥴🥴Cha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)
NB MUHIMU: hakikisha, hukosi cheti cha KUZALIWA, LA SABA na LEAVING CERTIFICATE ya FORM FOUR…
Na vyote hivi, majina yafanane..Kama vimetofautiana, karekebishe mapema kabla mkeka haujatema (Usiseme hujaambiwa) 😀
Hadi leaving certificate pia?!!, au cha form 4 tu kinatoshaCha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)
NB MUHIMU: hakikisha, hukosi cheti cha KUZALIWA, LA SABA na LEAVING CERTIFICATE ya FORM FOUR…
Na vyote hivi, majina yafanane..Kama vimetofautiana, karekebishe mapema kabla mkeka haujatema (Usiseme hujaambiwa) 😀
Ngoja waje wajuzi wa mambo ila nadhani kwa ambao majina yalikosewa kama la kati kuwa mwisho na la mwisho kuwa kati....anapaswa kua na kiapo broAffidavits zipo mkuu🥴🥴
Muhimu hili,Na nida pia au sio mzee
Ni vyema kama kuna uwezekano wa kubadilisha, basi abadilishe…Ngoja waje wajuzi wa mambo ila nadhani kwa ambao majina yalikosewa kama la kati kuwa mwisho na la mwisho kuwa kati....anapaswa kua na kiapo bro
Ni sawa mkuu Ila unakuta mtu vyeti vya taaluma Anasomeka RASHID SALUMU ATHUMAN....Ila nida na cheti Cha kuzaliwa ni RASHID ATHUMAN SALUMU.... Hapo vyeti haviwezi badirika Tena maan nida haibadiriki na hivyo vya taaluma ndio kibisaaaa haibadiriki.....HAPO NI KUWEPO KWA KIAPO TU KWAKE imtambulishe ni mtu huyo huyo.Ni vyema kama kuna uwezekano wa kubadilisha, basi abadilishe…
Haya mambo ya kutegemea affidavits, watu wakijaa, alafu wakiwa wanatafuta wachache wa kuwapunguza, wanaanza na wewe ambaye kidogo unaonekana Mng’ao…
Ni bora ukawa clean kabisa, kama kuna uwezekano…
Ushauri, mwenye hiyo changamoto afanye vyote; abadilishe taarifa zake, na atafite affidavit…
Ikigoma huku, unakuwa na back up ya kingine
Kuna aina mbili za vyeti;Hadi leaving certificate pia?!!, au cha form 4 tu kinatosha
Ukisoma matangazo yote ya ajira, lazima ukute vyeti vya TAALUMA na KUMALIZA elimu ya sekondariHadi leaving certificate pia?!!, au cha form 4 tu kinatosha
Point of correction Living certificate haziandikwagi Tabia ya mtu💯Kuna aina mbili za vyeti;
1) Vyeti vya kitaaluma - Form four, six na chuo..
2) Vyeti vya kumaliza shule - Leaving certificate (Hivi huwa vinaandikwa tabia yako)
Lkn ni muhimu kwenye usahili don't forget🥴Point of correction Living certificate haziandikwagi Tabia ya mtu💯
Ndio ni muhimu sana maan ni qualification moja wapo ya mwombaji so haipaswi kukosa hii mzeeLkn ni muhimu kwenye usahili don't forget🥴
Huenda nimeelewa vibaya, ila kuna sehemu ya “REMARKS”…Point of correction Living certificate haziandikwagi Tabia ya mtu💯
Anhaaa usiogope mkuu zile ni grade za ufaulu tu kwa somo husikaHuenda nimeelewa vibaya, ila kuna sehemu ya “REMARKS”…
Hapo huwa kunaandikwa GOOD, AVERAGE au SATISFACTORY…
Nimehisi imezungumziwa tabia na maendeleo ya mwanafunzi kwa ujumla… 😬
Jamaa yako alisema kweliMkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZ
Naam mkuuJamaa yako alisema kweli
Kwa sisi wa kupiganisha ngoja tusubiri majibuNaam mkuu