Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Tupe hints kuhusu vyeti
Cha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)

NB MUHIMU: hakikisha, hukosi cheti cha KUZALIWA, LA SABA na LEAVING CERTIFICATE ya FORM FOUR…

Na vyote hivi, majina yafanane..Kama vimetofautiana, karekebishe mapema kabla mkeka haujatema (Usiseme hujaambiwa) 😀
 
Na nida pia au sio mzee
 
Affidavits zipo mkuu🥴🥴
 
Hadi leaving certificate pia?!!, au cha form 4 tu kinatosha
 
Ngoja waje wajuzi wa mambo ila nadhani kwa ambao majina yalikosewa kama la kati kuwa mwisho na la mwisho kuwa kati....anapaswa kua na kiapo bro
Ni vyema kama kuna uwezekano wa kubadilisha, basi abadilishe…

Haya mambo ya kutegemea affidavits, watu wakijaa, alafu wakiwa wanatafuta wachache wa kuwapunguza, wanaanza na wewe ambaye kidogo unaonekana Mng’ao…

Ni bora ukawa clean kabisa, kama kuna uwezekano…

Ushauri, mwenye hiyo changamoto afanye vyote; abadilishe taarifa zake, na atafite affidavit…

Ikigoma huku, unakuwa na back up ya kingine
 
Ni sawa mkuu Ila unakuta mtu vyeti vya taaluma Anasomeka RASHID SALUMU ATHUMAN....Ila nida na cheti Cha kuzaliwa ni RASHID ATHUMAN SALUMU.... Hapo vyeti haviwezi badirika Tena maan nida haibadiriki na hivyo vya taaluma ndio kibisaaaa haibadiriki.....HAPO NI KUWEPO KWA KIAPO TU KWAKE imtambulishe ni mtu huyo huyo.
 
Point of correction Living certificate haziandikwagi Tabia ya mtu💯
Huenda nimeelewa vibaya, ila kuna sehemu ya “REMARKS”…

Hapo huwa kunaandikwa GOOD, AVERAGE au SATISFACTORY…

Nimehisi imezungumziwa tabia na maendeleo ya mwanafunzi kwa ujumla… 😬
 
Anhaaa usiogope mkuu zile ni grade za ufaulu tu kwa somo husika
A- EXCELLENT
B- Very GOOD
C- GOOD
D- SATISFACTORY
F- FAIL
 
Back
Top Bottom