Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Aise wakuu eti maombi ya hawa wazee unapeleka pale pale makao makuu au
 
Simu huwezi kupigiwa kama huna mbanga utasubiri sana mpaka watu wanaapa
Mwanangu kwo sisi tuliotuma maombi posta hatukipita jkt, na tunadegree Ila tofauti na zile zilizotajwa engineering na afya hatuna mbanga tuendelee na mambo mengine mfano ni Nina degree ya business administration 🤔Ila niliweka na Leseni udereva B, D
 
Bana wewe Tulia tu hayo ni maneno
Brooooh... Jamaaa yupo seriously na kaongea fact kama hauna mtu wa kukwambia tuma force number jua haupati kitu brooo... Image jkt kambi ya oljoro wamechukua watu nane tuuuu... Kweny watu mia na......
 
Za chini chinii... Mtaaani simu wataanza kupiga kwanzia tarhe 15...note kama una mbaga ya kuaminika.... Na watu wataanza kulipoti rts kwanzia tarehe 20..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…