Za chini chinii... Mtaaani simu wataanza kupiga kwanzia tarhe 15...note kama una mbaga ya kuaminika.... Na watu wataanza kulipoti rts kwanzia tarehe 20..
Ndy.... Mwezi huuu i mean kwanzia alhamiss... Ila kikubwa mbanga tuuuuMweZi huu
Tafuta mbanga kaka hapo pagumu badoMwanangu kwo sisi tuliotuma maombi posta hatukipita jkt, na tunadegree Ila tofauti na zile zilizotajwa engineering na afya hatuna mbanga tuendelee na mambo mengine mfano ni Nina degree ya business administration 🤔Ila niliweka na Leseni udereva B, D
Vijana waneaza kuingia msata na wale walioomba kupitia mtaani watachukuliwa wenye ujuzi tu.
fani za kwenye tangazo au hata nyingine mkuu? 🙏Vijana waneaza kuingia msata na wale walioomba kupitia mtaani watachukuliwa wenye ujuzi tu.
Ata iwe fani yoyote unatakiwa uwe na mbanga mkuu huwezi kutoboa kirahisi hapo.fani za kwenye tangazo au hata nyingine mkuu? 🙏
nimekupata mkuu💪Ata iwe fani yoyote unatakiwa uwe na mbanga mkuu huwezi kutoboa kirahisi hapo.
Hata nyinginefani za kwenye tangazo au hata nyingine mkuu? 🙏
Hali ya hewa ya usatani ipoje mkuu😂😂😂wazee majeshi sana Raia tushaachana na hizi mambo
Watu washawekwa kwenye kombania sahv wanasubiri kuendelea na usahili mwingine.Hali ya hewa ya usatani ipoje mkuu
lllwaWatu washawekwa kwenye kombania sahv wanasubiri kuendelea na usahili mwingine.
wa mtaam wapo?Watu washawekwa kwenye kombania sahv wanasubiri kuendelea na usahili mwingine.
Wa mtaani hawaendi msata direct...huwa wanaripot kwanza dodoma kwaajil ya usahili then ndo wanapelekwa huko msata!wa mtaam wapo?
Huu ndo ukweli👆……kwa wale mliopeleka barua pale ngome, kama utakua makin utaona kuna baadhi ya watu(wazazi) wanakuja na maelekezo na anampa maelekezo afande pale alaf afande anapokea hizo baasha anashika mkononi hazichanganywi na nyingine ( hao ndo wana mbanga sasa) nyie wengne zakwenu zinakusanywa kama kumbikumbi kisha zinawekwa kweny box😅Simu huwezi kupigiwa kama huna mbanga utasubiri sana mpaka watu wanaapa
😀😀😀🙌🏾Huu ndo ukweli👆……kwa wale mliopeleka barua pale ngome, kama utakua makin utaona kuna baadhi ya watu(wazazi) wanakuja na maelekezo na anampa maelekezo afande pale alaf afande anapokea hizo baasha anashika mkononi hazichanganywi na nyingine ( hao ndo wana mbanga sasa) nyie wengne zakwenu zinakusanywa kama kumbikumbi kisha zinawekwa kweny box😅
Nina ndugu yangu 🥶lurltenTafuta mbanga kaka hapo pagumu bado
Lakini si kuna sagula sagula 😂kwenye zile Za box watachukua pia baadhi ndo unakuta barua yangu inafungiwa maandazi mitaani mnoHuu ndo ukweli👆……kwa wale mliopeleka barua pale ngome, kama utakua makin utaona kuna baadhi ya watu(wazazi) wanakuja na maelekezo na anampa maelekezo afande pale alaf afande anapokea hizo baasha anashika mkononi hazichanganywi na nyingine ( hao ndo wana mbanga sasa) nyie wengne zakwenu zinakusanywa kama kumbikumbi kisha zinawekwa kweny box😅
Luten(nyota mbili) uyo bdo ni mdogo hawezi kukupiganishia labda kama yoko pale pale ngome au awe anajuana na mkubwaa apo ndo ataweza kukupiganishiaNina ndugu yangu 🥶lurlten
Lakini si kuna sagula sagula 😂kwenye zile Za box watachukua pia baadhi ndo unakuta barua yangu inafungiwa maandazi mitaani mno
Naskia wapo ambao bila hata mbanga wataitwa ila kweny usaili, ila uko kweny usaili kama huna mbanga kutemwa ni nnjennje😅Nina ndugu yangu 🥶lurlten
Lakini si kuna sagula sagula 😂kwenye zile Za box watachukua pia baadhi ndo unakuta barua yangu inafungiwa maandazi mitaani mno
Mzee umeiva mpaka umepitiliza.hujaomba safari hiiLuten(nyota mbili) uyo bdo ni mdogo hawezi kukupiganishia labda kama yoko pale pale ngome au awe anajuana na mkubwaa apo ndo ataweza kukupiganishia