Wanalia Nini wakati wanajiunga JKT waliambiwa JKT haiajiri?Muda unavyozidi na vigezo na mashariti vinazidi kukibana kiufupi JW pagumu hata ukiwa JKT bado uwe na mbuyu haswaa vijana mwezi uliopipita wameanza rudishwa home wanalia vibaya mnoo
Ni kweli na upo sahihi mkuuWanalia Nini wakati wanajiunga JKT waliambiwa JKT haiajiri?
Kika mwaka watu wanapeana moyo na kusikilizia ronja ila ronja ya uhakika inayokuja jumu ni vijana 3000+ wamemaloza mafunzo huko Porini wanasubiria kuapaHawataki kusikia huu ukweli
Yaani baada ya yule Mbunge simsahau hadi Leo akashupalia kabisaa hio Mada ya kutopita JKT Waajiriwe kwenye Vyombo...Japo kuna baadhi siku hio waligomea ila Spika nae wa kipindi hicho akapitisha tu Aisee hilo Azimio..Atleast kipind hiko yakija mabogi ya Polisi,,Uhamiaji,,Magereza,,,Zimamoto yanapunguza watu Competition ilikuwepo lakini sio kubwa wakati bado kigezo cha JKT kipo kuna mwaka Mkoa flani tulikuaga kwenye Usaili wa Polisi watu 248 tuu ila kwa sasa huikuti hio,,ila All in All kwa wakat huu kuajiriwa kwenye vyombo either Utoe Pesaa tena nyingi Au uwe na Mbangaa sio wa kitotoNi kweli na upo sahihi mkuu
Shida yale mazingira unamkuta mtu ashazoea na anajiona kamanda miaka miwili umetoboa mkataba 0_0 unakuta home labda hakuna chakueleweka lazima ulie tu, Wanasiasa ni wabinfasi sana yalipoga kelele kuwa ajira za Vyombo vya ulinzi si lazima upite JkT matokeo yake kundi kubwa sana linatoboa mokataba nakurudi home tofauti na awali
Kupitia watu JKT lilikuwa suala zuri sana basi tu ni hile manasiasa huwa akili sijui hayanaYaani baada ya yule Mbunge simsahau hadi Leo akashupalia kabisaa hio Mada ya kutopita JKT Waajiriwe kwenye Vyombo...Japo kuna baadhi siku hio waligomea ila Spika nae wa kipindi hicho akapitisha tu Aisee hilo Azimio..Atleast kipind hiko yakija mabogi ya Polisi,,Uhamiaji,,Magereza,,,Zimamoto yanapunguza watu Competition ilikuwepo lakini sio kubwa wakati bado kigezo cha JKT kipo kuna mwaka Mkoa flani tulikuaga kwenye Usaili wa Polisi watu 248 tuu ila kwa sasa huikuti hio,,ila All in All kwa wakat huu kuajiriwa kwenye vyombo either Utoe Pesaa tena nyingi Au uwe na Mbangaa sio wa kitoto
Kupitia watu JKT lilikuwa suala zuri sana basi tu ni hile manasiasa huwa akili sijui hayana
Hapa kati kati wamepatikana vijana wazuri na wanaopenda Majeshi kweli kweli!!
Kama wataalamu wepii!?Kila kitu kina Faida na Hasara.
Ukilazimisha kila mtu lazima apite JKT ndo aajiliwe lets say JWTZ kuna wataalamu mtawakosa.
Ndo maana JWTZ hua wanasema wewe kama umepita JKT weka cheti chako, Na wana consider sana tyu.
Pale iliingizwa Siasa kakaaKupitia watu JKT lilikuwa suala zuri sana basi tu ni hile manasiasa huwa akili sijui hayana
Hapa kati kati wamepatikana vijana wazuri na wanaopenda Majeshi kweli kweli!!
Ni kweli upo sahihi hata Polisi/Magereza bado wataalamu wengi hawkatokea JKTKila kitu kina Faida na Hasara.
Ukilazimisha kila mtu lazima apite JKT ndo aajiliwe lets say JWTZ kuna wataalamu mtawakosa.
Ndo maana JWTZ hua wanasema wewe kama umepita JKT weka cheti chako, Na wana consider sana tyu.
Ni kweli kuna wataalam kuwapata JKT moja kwa moja ni vigunu sana kaka au utawapata kwa uchache sanaKama wataalamu wepii!?
Ni sawa hili la wataalamu kutopitia JKT, ila wangekua wana Consider kwa kiwango hitajika, ili kuendana sawa na matumizi ya rasilimali watu.Ni kweli upo sahihi hata Polisi/Magereza bado wataalamu wengi hawkatokea JKT
Na JWTZ wataalam wao wengi wanajua wapi wanawapata nfano Medicine kuna Mwkaa walipita mavyuo makubwa yale ma3 wanajua walichokuwa wanafanya
Ila bado kuna umuhimu mkubwa sana vijana watokee JKT kuna faida nyingi kuliko hasara
Mpango wa sasa ni kuwa huko chomboni wanahitajika wataalamu na wajuzi wa taaluma zile muhimu, hasa zinazohusu Sayansi.Ni kweli kuna wataalam kuwapata JKT moja kwa moja ni vigunu sana kaka au utawapata kwa uchache sana
Mfano Medicine ans Allied Science
IT/ICT and Engenneering
Umeona Tangazo la sasa limekazania vijana waliosoma mambo ya IT/ICT wajiunge na JKT kuna mpango wa muda mrefu unaandaliwa hapo mkuu
Duh hatari hiiNi sawa hili la wataalamu kutopitia JKT, ila wangekua wana Consider kwa kiwango hitajika, ili kuendana sawa na matumizi ya rasilimali watu.
Sio hivyo wanavyofanya sasa kuweka huria, inawafanya hao kuruta wa JKT wasiokua na taaluma, kurudi mtaani na kuanza upya msoto wa kitaa.
Kuna mkaka ni street mate, kajiua kisa kukosa ajira huko jeshini, kakaa miaka 3 huko JKT, mambo hollah kurudi kitaa msoto michosho kajiwahisha akhera madukani. Afu huku kuna mdau yeye ni mtaalamu wa masuala ya IT, kapata kiulaini ajira huko chomboni, na hata kwa mujibu hakugusa.
Nini hiyoooo????
Uko sahihi ChiefNi sawa hili la wataalamu kutopitia JKT, ila wangekua wana Consider kwa kiwango hitajika, ili kuendana sawa na matumizi ya rasilimali watu.
Sio hivyo wanavyofanya sasa kuweka huria, inawafanya hao kuruta wa JKT wasiokua na taaluma, kurudi mtaani na kuanza upya msoto wa kitaa.
Kuna mkaka ni street mate, kajiua kisa kukosa ajira huko jeshini, kakaa miaka 3 huko JKT, mambo hollah kurudi kitaa msoto michosho kajiwahisha akhera madukani. Afu huku kuna mdau yeye ni mtaalamu wa masuala ya IT, kapata kiulaini ajira huko chomboni, na hata kwa mujibu hakugusa.
Nini hiyoooo????
Ni kwelii,,Kuna mwaka ndugu yangu mmoja alikua pale Muhimbili anagonga intern alikua Kapiga DDS(Doctor of Dental Surgery) walimchukuaa ni kweli kuna baadhi ya taaluma zinahitajika sana ila watu walosoma kuwapata ni Nadra au hata hao wachache unakuta hawako interested na majeshi...Mfano kuna Forensic Science Piaa hii kwa Polisi ni uhakikaaNi kweli kuna wataalam kuwapata JKT moja kwa moja ni vigunu sana kaka au utawapata kwa uchache sana
Mfano Medicine ans Allied Science
IT/ICT and Engenneering
Umeona Tangazo la sasa limekazania vijana waliosoma mambo ya IT/ICT wajiunge na JKT kuna mpango wa muda mrefu unaandaliwa hapo mkuu
Aiseee sema ukiachwa na bogi hua inaumaa sanaa alafu iwe ndo uliaminiaa kinomaa,,Mwanangu mmoja tumetemwa tukatoboa mkataba kurudi kitaa alafu kidem chake kilipata uhamiajii kikamtemaa akawa na maumivu mara mbilii Oyaaa Al manusra Adatee😂tuliwahi tu kumsanua maza akee na Alipambana sana kumuweka sawaNi sawa hili la wataalamu kutopitia JKT, ila wangekua wana Consider kwa kiwango hitajika, ili kuendana sawa na matumizi ya rasilimali watu.
Sio hivyo wanavyofanya sasa kuweka huria, inawafanya hao kuruta wa JKT wasiokua na taaluma, kurudi mtaani na kuanza upya msoto wa kitaa.
Kuna mkaka ni street mate, kajiua kisa kukosa ajira huko jeshini, kakaa miaka 3 huko JKT, mambo hollah kurudi kitaa msoto michosho kajiwahisha akhera madukani. Afu huku kuna mdau yeye ni mtaalamu wa masuala ya IT, kapata kiulaini ajira huko chomboni, na hata kwa mujibu hakugusa.
Nini hiyoooo????
Tena hatari kubwa sana.Duh hatari hii
Swadaktaaaa.Uko sahihi Chief
Maelezo mazuri sana
😂😂😂😂😂 Daah hatariii sanaa.Aiseee sema ukiachwa na bogi hua inaumaa sanaa alafu iwe ndo uliaminiaa kinomaa,,Mwanangu mmoja tumetemwa tukatoboa mkataba kurudi kitaa alafu kidem chake kilipata uhamiajii kikamtemaa akawa na maumivu mara mbilii Oyaaa Al manusra Adatee😂tuliwahi tu kumsanua maza akee na Alipambana sana kumuweka sawa
***** hutu tu demu hutu 🚮Aiseee sema ukiachwa na bogi hua inaumaa sanaa alafu iwe ndo uliaminiaa kinomaa,,Mwanangu mmoja tumetemwa tukatoboa mkataba kurudi kitaa alafu kidem chake kilipata uhamiajii kikamtemaa akawa na maumivu mara mbilii Oyaaa Al manusra Adatee😂tuliwahi tu kumsanua maza akee na Alipambana sana kumuweka sawa