Black Elon
Member
- Nov 2, 2023
- 93
- 116
Dah sio poa na bado naskia kuna kizingiti cha NIDA za wazazi.Najua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..
=>B.P
=>Hepatitis B&C
=>SYPHILIS.
=>HIV/AIDS
=>EYE/EAR
=>MUSCLES AND BONE ARRANGEMENT.
=>Weight.
=>FEET PRINT.
=>ANUS MUSCLES.
=>TEETH ARRANGEMENT.
=>Malaria.
=>VEIN DISTRIBUTARIES..
VINGINE: NIFUATE Pm
Kiziti kivip mkuu c unawapa namba tuDah sio poa na bado naskia kuna kizingiti cha NIDA za wazazi.
Wazee walivuta hata kabla masuala ya NIDA hayajaanza.Kiziti kivip mkuu c unawapa namba
Sidhan kama itakua na mkazo sana hii labd kama chujio la kusudi...Wazee walivuta hata kabla masuala ya NIDA hayajaanza.
Kwa TPDF sijui, so ni vyema ukawa nayo kama akiba…Jina langu la cheti Cha kuzaliwa linafanana kabisa na la vyeti vya shule. Lkn imebid Mzee wangu anichukulie affidavits ili kuapa kwamba JOHNNY SINS na JOHNSON JUMA MNAZI ni mtu mmoja yani yote ni majina yake vp hapo Kuna haja ya kwenda na hyo affidavits au ntakua nimejila. Na je vp nichukue affidavits kwaajili ya NIDA sababu wameongeza herufi "i" mwishoni mwa jina langu ambayo haitakiwi kuepo mfano vyeti vyangu vyote vimeandikwa ABDUL lkn wao NIDA wameandika ABDULI. Ebu nipe muongozo hapo mkuu🥴🥴
Nakazia Tena Cheri Cha la Saba muhimu sana kwa form for,sixCha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)
NB MUHIMU: hakikisha, hukosi cheti cha KUZALIWA, LA SABA na LEAVING CERTIFICATE ya FORM FOUR…
Na vyote hivi, majina yafanane..Kama vimetofautiana, karekebishe mapema kabla mkeka haujatema (Usiseme hujaambiwa) 😀
Siku wakiyatoaWazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Kwanini mkuu, tufafanulie zaidi..Naskia dis tym Rts watatimba nyomi sanaaaaaa
Kwahiyo wanaweza pigish kam mtu ngapi?Naskia dis tym Rts watatimba nyomi sanaaaaaa
Mi niliiskia ni bogi mbili kama 2022Naskia dis tym Rts watatimba nyomi sanaaaaaa
Kama bogi zikiwa mbili maanake hapo ni kuruti buku5 na usheeKwahiyo wanaweza pigish kam mtu ngapi?
Sent ]
Lonja zinasemaje mkuu? ni mwezi huu kwenda msata au ujao?Mnaopiganisha fanyeni kweli hiki kipindi ukikosa ndo basi tena hadi mwakani
Mwezi wa sabaLonja zinasemaje mkuu? ni mwezi huu kwenda msata au ujao?
Sawa mkuuMwezi wa saba
Watu wanaenda kupigwa Doso la MaanaMwezi wa saba
😀 mbona vitisho mkuu.. inaelekea msata sio poaWatu wanaenda kupigwa Doso la Maana