Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mwaka jana makutupora hapo kuna dem alisomwa jina na kwenye usaili hakuwepo mamaee...na jina likasomwa kwenda RTS mdo ujue connection ndo msingi kwenye majeshiii zingine mbwembwe tuuu
We acha mzee mimi kwenye usaili wa military science 2021 ripoti yangu ya anfit iliandikwa nina matatizo ya moyo weee acha figisu nyingi sana alafu asibuhi natembea mtu anakuja anaingiwa anachukua nafasi yako. Yani ukiona hadi unapata nafasi mshukuru sana Mungu. Vijana wanajituma sana. Wanapambana sana. Sometimes kudra za mwenyezi Mungu na mipango fran ya binadamu inakwamisha watu
 
Kabisa vijana
 
Inaweza kuwa mwez wa sita tarehe zipi??

Afu kuna hawa madogo wa level II nawaona kikosi fulani hapa Zenji wanakula mabio sana mida ya jioni hawa wanamaliza lini?
 
We acha tu jombaa mimii nimegusa makutu pale mara mbili na zote nimetoka kwa figisuu flanii tuu kuna muda unajiuliza auu sio bahat yanguu ila unakuta ni mipango ya kibanadamu tu inakuondoaa
 
Iyo mbanga yako nishaijua, kwa wakati huo alikua brigedia (one star general) na sasa ni two star general (major general) uyo ni meja generali WILBERT IBUGE.
 
We acha tu jombaa mimii nimegusa makutu pale mara mbili na zote nimetoka kwa figisuu flanii tuu kuna muda unajiuliza auu sio bahat yanguu ila unakuta ni mipango ya kibanadamu tu inakuondoaa
Walitumia kisingizio kipi kukusepesha?
 
Iyo mbanga yako nishaijua, kwa wakati huo alikua brigedia (one star general) na sasa ni two star general (major general) uyo ni meja generali WILBERT IBUGE.
Mkuu jamaa kaweka Code wewe umeenda kuifungua mazimaπŸ˜€πŸ˜€
 
Inaweza kuwa mwez wa sita tarehe zipi??

Afu kuna hawa madogo wa level II nawaona kikosi fulani hapa Zenji wanakula mabio sana mida ya jioni hawa wanamaliza lini?
Kozi mwez wa 6 sidhanii sababu usaili wa makutu pale unachukua muda mrefuu kinomaa
 
Kozi mwez wa 6 sidhanii sababu usaili wa makutu pale unachukua muda mrefuu kinomaa
Yeah si ajabu ikatupwa mwez wa 10 huko , hivi vyombo havitabiriki.. watu wanaweza as you were za kutosha na uzalendo mrefuuu.
 
Ahahaha Dah!!! Hii kweli inafurahisha.
Kwa boss wewe ni mwembaba sana na mrefu sana au mfupi sana na kibonge sana??? mbona BMI za wengi naonaga ziko sawa sana.
Watuu wengii tu hata hiki kinakutoaaa mzee ilimradi zengwe utoke tuu wengine wachukue nafasiiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Iyo mbanga yako nishaijua, kwa wakati huo alikua brigedia (one star general) na sasa ni two star general (major general) uyo ni meja generali WILBERT IBUGE.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dogo ujajifanya unazijua code aujamaliza. Me kwenye code nimesema alikua mkufunzi wa chuo frani na now he is still there. Chuo gani au unamtia ubaya mzee wa watu IBUGE πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Ila ndugu haya mambo naona sijui ni bahati tu, maana nishaangaika sana mimi mwaka juzi nilijitoa muhanga nikamtimbia kanali flani hivi, nikawa nakwenda mpka kwake karibia kila weekend akirud pia nilimsumbua sana na kwenye simu ili anisaidie nivae bakabaka lakin sikufanikiwa aisee
 
M
Yeah si ajabu ikatupwa mwez wa 10 huko , hivi vyombo havitabiriki.. watu wanaweza as you were za kutosha na uzalendo mrefuuu.
MWez wa 10 hapanaa mbali mnoo....mwaka jana makutu tumekaa wa 6,na wa 7 wanane unaingia watu wapo RTS NA KOZI IKAANZA
 
Yes sometimes mipango ya Mungu kuna muda mbanga anakua na nafasi chache watu wengi kwahio lazima awape kipaumbele watu wa muhimu. Vyote sawa. Maana mbanga wa maana kabisa anakua na nafasi 3 akichekecha hadi 5 mara nyingi 3 hawa wengine hadi waombe kupenyeza. Maana kuna mbanga za aina 2 kuna yule ambaye anapewa kabisa nafasi kadhaa 1,2 au 3 huyu uhakika yani hata kama umri umezidi unapiga cozi fresh kuna mbanga nyingine yeye hapewi nafasi ila kwasehemu ambayo yupo anauwezo wa kuchomeka jina lako wakaenda kukukata kwenye usaili rts huko kama v2 vyako magumashi. Sometimes mbanga nazo za kuziloga hivi hivi zinakuacha *****
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dogo ujajifanya unazijua code aujamaliza. Me kwenye code nimesema alikua mkufunzi wa chuo frani na now he is still there. Chuo gani au unamtia ubaya mzee wa watu IBUGE πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahah ndo uyo kaka nakumbuka kipindi kile akiwa one star general akiwa anapoke vijana wa military science nilikua nafatilia sana mahojiano yake …..au unataka kusema ni meja general IBRAHIM MHONA πŸ˜„
 
Hahah ndo uyo kaka nakumbuka kipindi kile akiwa one star general akiwa anapoke vijana wa military science nilikua nafatilia sana mahojiano yake …..au unataka kusema ni meja general IBRAHIM MHONA πŸ˜„
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dogo sijasema. Usije kunigombanisha na mzee wangu.
 
Hivi huwa wanazingatia swala la umri?? Ngadu07
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…