Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

😂😂😂😂😂😂😂 dah hatare bro
 
Hii ngoma ni ngumu kwa sisi watoto wa kimasikini tusiokua na Chanel ila ukimpata mtu kama kanal au brigedia na kwenda juu basi msata kupiga kozi ni uhakika
 
So now uko unapiga kozi TMA?
 
Kwahyo Mkuu wewe ulikuaga mujibu wa sheria sio!?maana ulisema ulianza usaili wa military science ukatoka ukaja kuoyea intake 44 uliingia kama mujibu 🤔
Nilikuaga mujibu 2021 op samia nikakosa bogi la bms. Baada ya hapo mabogi ya katikati mengi nimekula ya mbavu nikaja kuangushia intake ya 44
 
Sipo TMA.
Sawa
Mzee, nina mwanangu moja sema yeye mzee wake alikuwa kanali, the same mkuu wa wilaya, dogo kapita chapu mwaka 2024 alivaa nyota moja, na koz alienda misri na akarudi TMA, nikajifunza kitu ukiwa na mbuyu ambapo wewe mtoto au ndugu ni muhimu kwake, aisee mambo yanakuwa mepesi snaa.
 
Kweli mkuu sifa mbanga tu ya uhakika then kwisha habar.
 
Nimesikia hii lakini shida inakuja mkuu wa pale usatani anataka kila kitu kifanyike pale na Kwa sababu anaifluens kubwa Kwa cdf ndio ugumu unapokuja na usatani Haina uwezo wa kuaccomodate wing mbili
Anhaa nimekupata mkuu ….kuna dogo yupo kikosini uko na bogi la msata katemwa jana ndo kaniambia kua mbanga wake kamwambia asubir kuna bogi lingine la oljoro, mbanga wake ni kanali.
 
Bajeti ya maswala ya ulinzi imewasilishwa bungeni leo,, kunyweni maji moyo ueleee likipigwa pyenga usije ukaanza kutea tea maana utanyakuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…