Poleniii sanaaa, bila kimemo hakuna kuvaa Kitengee, [emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo swala la kukusanya zile barua za maombi pale ngome yalikua ni maigizo au sioo …..ila kitengee [emoji23][emoji23]
Napiga kwenye mshonoo, [emoji23][emoji23][emoji23]Naona mkuu umeamua kugawa za vichwa tu.
Nawaambia ukweliii. [emoji23][emoji23][emoji23]Hilii liko waziii
[emoji23][emoji23][emoji23]Bajeti ya maswala ya ulinzi imewasilishwa bungeni leo,, kunyweni maji moyo ueleee likipigwa pyenga usije ukaanza kutea tea maana utanyakuliwa.
Dah sijui kwa nn kuko kimyaKwahyo simu bado hazijaanza kuita huko wakuu
Labda kuna ilo bogi la oljoro ndo linasikiliziwa ili liondoke na vijana wamtaaniDah sijui kwa nn kuko kimya
Sifa mbanga au sioo 😄Wizara ya Ulinzi ndio inajadiliwa wakati huu ili ipitishwe, mambo yakisha kuwa mswano, watu watulizane mioyo igale galee.
Narudiaa, bila Kimemo Gwanda utaishia kuziona kwa wenzio tuu.
Nilipata bahati, ila sina interest na hii kazi, nilikacha, hata Kwa mujibu nilienda kwa kulazimishwa tuu.
Naona Wana wanaililia hapa hatariii, aseeeeh. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu weweee. [emoji23][emoji23][emoji23]Sifa mbanga au sioo [emoji1]
Afu anapenda kuvaa saa mkono wa kulia. [emoji91]Huyu jamaa nilikua namkubali ila naona wameamua kumchoropoa kimkakati apo Jeshini ….angekua CDF ajae ingependeza sana.
Ila hii usiweke uhakika sana mana miaka yote uwa tunasema iv ibAnhaa nimekupata mkuu ….kuna dogo yupo kikosini uko na bogi la msata katemwa jana ndo kaniambia kua mbanga wake kamwambia asubir kuna bogi lingine la oljoro, mbanga wake ni kanali.
Soma maelezo yao vemaNiwapeleke wapi?
Nimechoka!Soma maelezo yao vema
Wape fursa vijana wapate pesaNimechoka!
Nazitoa watu mdogo wangu?Wape fursa vijana wapate pesa
Toa neno mdogo ako bintiNazitoa watu mdogo wangu?
Ili iwejeToa neno mdogo ako binti