Yeah nafasi yangu naona iliuzwa jamaa alikubali kunisaidia ila dakika za mwisho naona alichagua pesa kuliko utu, ungekuta nimemaliza kozi ccp mwaka jana mwezi wa11.Ukiona kila kitu umepita afu uko kusubiri kuitwa CCP, mwisho huitwi, ujue nafasi yako kuna mtu ameinunua.
Bila chochote kitu hutoboi hii nchi. Lol
Mwaka jana tpdf nmeweka 3M nikakosa,,hio 5M ndo nataka niitenge hivi sasa kwa PT Mkuu kama una mtu huko Polisi naomba tafuuMl Tano umekosa tpdf kweli
PAmbana usichoke mkuuu tafuta tenaaYeah nafasi yangu naona iliuzwa jamaa alikubali kunisaidia ila dakika za mwisho naona alichagua pesa kuliko utu, ungekuta nimemaliza kozi ccp mwaka jana mwezi wa11.
Haki ya MUNGU vile kwa sasa nataka nijiwekeze PT tuu niweke hela niende aisee maisha ya mtaa sio poaaWee tia helaa uingie huko PT. ukajitwalie za kiwi, [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo pmMwaka jana tpdf nmeweka 3M nikakosa,,hio 5M ndo nataka niitenge hivi sasa kwa PT Mkuu kama una mtu huko Polisi naomba tafuu
Duuh kweli pesa sabuni ya roho na umaskini ni mbaya ….umenikumbusha mwaka juzi wakat nipo kweny usaili wa polisi Dodoma siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, mida ya saa4 usiku kuna binti alinitafuta akaniambia kuna nafas moja ya form6 inauzwa million2 na uyo mtu anatakiwa apatikane kabla ya kesho yake hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, duuh nikabak kushangaa yani usaili haujaisha kumbe huku nafasi zinauzwaa na zinakwisha!Mwaka jana tpdf nmeweka 3M nikakosa,,hio 5M ndo nataka niitenge hivi sasa kwa PT Mkuu kama una mtu huko Polisi naomba tafuu
Imagine binti mwenyew alikua ni wa form4 tu kutoka kambi ya makutupora 😄 …kale kabint kalikua na mtu wake mzito uko yani ni full maelekezoDuuh kweli pesa sabuni ya roho na umaskini ni mbaya ….umenikumbusha mwaka juzi wakat nipo kweny usaili wa polisi Dodoma siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, mida ya saa4 usiku kuna binti alinitafuta akaniambia kuna nafas moja ya form6 inauzwa million2 na uyo mtu anatakiwa apatikane kabla ya kesho yake hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, duuh nikabak kushangaa yani usaili haujaisha kumbe huku nafasi zinauzwaa na zinakwisha!
Mzee mbon unaongea km yule jamaa wa jax unaukumbuka ule uzi wa kinjemo a tupeane updates ya ajira alafu ukawa ww ndo ulouchangamsha ule uzi nilikuwa ni fans wako mkubwa kaka kwenye ule uzi yan mpk unaongea ivo hizi story zote nazikumbuka story za big analala tu kweny gariDuuh kweli pesa sabuni ya roho na umaskini ni mbaya ….umenikumbusha mwaka juzi wakat nipo kweny usaili wa polisi Dodoma siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, mida ya saa4 usiku kuna binti alinitafuta akaniambia kuna nafas moja ya form6 inauzwa million2 na uyo mtu anatakiwa apatikane kabla ya kesho yake hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, duuh nikabak kushangaa yani usaili haujaisha kumbe huku nafasi zinauzwaa na zinakwisha!
Hakuna kozi ya kijeshi yoyote ambayo ni rahisi ila ugumu ni wewe ambavyo unaichukulia! Ila kwa Zimamoto na Uhamiaji tunaweza sema kuna urahisi ila hawa watoto hawa watatu JW, PT na MT noma sana kwa JU sijajua lakini kuna mzigo piaKule hata uliwa na bawasiri hapakufai maana utauguza vidonda kila siku.
NDio maana bogi la TPDF linaitwa la masela. Kule hamba kufoleni uwanja wa damu hata na Tshirt yaani ni kifua wazi mgongo wazi,, fimbo zinabebwa na evehicle.
Kikubwa mpaka jina litoke ndio utoe pesa ila ukitanguliza pesa mkuu inakuwa mbaya maana mwishoni huwa yanakatwa katwa hovyo hovyo yaani mwenye nguvu ndo anapataMwaka jana tpdf nmeweka 3M nikakosa,,hio 5M ndo nataka niitenge hivi sasa kwa PT Mkuu kama una mtu huko Polisi naomba tafuu
Yeah nasikia hao MT nao wamoto kweli kweli doso lipo la kufa raia.. hata wale wazee wa TFSHakuna kozi ya kijeshi yoyote ambayo ni rahisi ila ugumu ni wewe ambavyo unaichukulia! Ila kwa Zimamoto na Uhamiaji tunaweza sema kuna urahisi ila hawa watoto hawa watatu JW, PT na MT noma sana kwa JU sijajua lakini kuna mzigo pia
Ndo huaa iko hivyoooDuuh kweli pesa sabuni ya roho na umaskini ni mbaya ….umenikumbusha mwaka juzi wakat nipo kweny usaili wa polisi Dodoma siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, mida ya saa4 usiku kuna binti alinitafuta akaniambia kuna nafas moja ya form6 inauzwa million2 na uyo mtu anatakiwa apatikane kabla ya kesho yake hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, duuh nikabak kushangaa yani usaili haujaisha kumbe huku nafasi zinauzwaa na zinakwisha!
Wale jamaa kozi wanayopiga haiendani na kazi yao yani mzigo heavy halafu kazi yake easy tu, hasa wale KM ni balaaYeah nasikia hao MT nao wamoto kweli kweli doso lipo la kufa raia.. hata wale wazee wa TFS
Sure siku hizi kozi zinamaelekezo mengi kishenzi na mpka wakufunzi wanachukuliwa sheria wakikiuka.Ila sasa hivi majeshi yote kozi scale zake zimepunguzwa yani mtu aliyepiga kozi 2010 na aliyepiga kozi 202+ ni watu wawili kwenye kozi zao huyo wa kitambo kala mzigo sana.
*Mfano PT siku unaingia mpaka unamaliza kozi ilikuwa ni viboko mwanzo mwisho
*JW zikiisha six weeks tu mzee ushamaliza kozi na kuna matifu baadhi yametolewa ni marufuku kwa kuruta.
Inshort haki za kibinadamu zimeingia majeshini kwa hiyo wanajitahidi kubalika kulingana na vizazi nyenyewe jinsi vilivyo ila yote na yote ugumu upo kwakweli
Ndo mm mkuu account yangu ilipata changamotoMzee mbon unaongea km yule jamaa wa jax unaukumbuka ule uzi wa kinjemo a tupeane updates ya ajira alafu ukawa ww ndo ulouchangamsha ule uzi nilikuwa ni fans wako mkubwa kaka kwenye ule uzi yan mpk unaongea ivo hizi story zote nazikumbuka story za big analala tu kweny gari
Sahihi kabisaSure siku hizi kozi zinamaelekezo mengi kishenzi na mpka wakufunzi wanachukuliwa sheria wakikiuka.
Kwahyo mkuu ulitoa milion3 ikaenda na ukakosa?Mwaka jana tpdf nmeweka 3M nikakosa,,hio 5M ndo nataka niitenge hivi sasa kwa PT Mkuu kama una mtu huko Polisi naomba tafuu