Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesema katika Mwaka wa Fedha 2026/27 inatarajia kuajiri watumishi wapya 10,919.
-
Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Ncji, Patrobas Katambi akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2026/27.
-
“Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2026/27, wizara inatarajia kuajiri watumishi 10,919.
-
“Kati ya hao, watumishi wa makao makuu ya wizara 249; Jeshi la Polisi 8,040; Jeshi la Magereza 1,046; Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 500; Idara ya Uhamiaji 1,000 na NIDA 84,” amesema Waziri Katambi
-
Zaidi tembelea//habarileo.co.tz
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
#HabariLeoUpdates
 
Daah pole sana mkuu
 
Daaah zote ni changamoto ila hili gwanda sisi tunalipenda
 
Kuna binadamu ni wakatili sana! Yani unakula milion3 ya kijana ambae ana hustle kitaa kwa uchungu ili apate walau kazi na aweze endesha maisha hii si ni laana kabisa jamani! Bora hata angemrudishia nusu ya iyo pesa aisee
Kwa kweli angerudisha hata nusu ya hiyo pesa, daaah.
Kuna watu ni makatili haswaa,
 
JW ni mwisho wa kila kitu, kulee hakuguswiii jamanii, ni pagumuu bhana wee.
Hakuingiliki? Aliyekuambia hakuingiliki nani? Tunaposema haki za binadamu sio hatumaanishi hawa mnaowaita WRW au UNHCR ndo wanaenda jeshini kutoa maelekezo hapana ila wakubwa wao ndo wanatoa hayo maelekezo kwamba vitu hivi hapana ma kweli hakifanyiki, sasa hivi mkufunzi akizingua kwenye hizi mambo anakula adhabu au hata anakula uhamisho
 
Zamani kozi zilikuwa zinapigwa tu mzee scale haina kipimo, ni mkufunzi anajipimia tu atakavyo... Mujibu iliporudishwa mwaka 2013 depo lilipigwa haswa mkesha mkesha mamlaka zikaona ohoo mambo yakaanza kulegezwa . Zamani serviceman wa JKT unakuta kozi yake ilikuwa sio poa jamaa wanaiva kishenzi.
 
Sijasema hakuingiliki, sijasema kuwa haki za binadamu hazifatwi, nilichoki maanisha Pa1 na hayo yote bado ni Pagumu haswaaa.
 
Upo sahihi na nakuunga mkono kwa hili
 
Sijasema hakuingiliki, sijasema kuwa haki za binadamu hazifatwi, nilichoki maanisha Pa1 na hayo yote bado ni Pagumu haswaaa.
Ndo maana mwanzo nikakuambia kuwa kozi yoyote ni ngumu jinsi unavyoichukulia sasa kama wewe ya mujibu wa sheria hapo juu umesema ilikutoa jasho ya huko je?

Mimi nimepiga ya kujitolea tena kozi ya kufa mtu nilipoenda kwenye ajira hata sikuona ugumu wowote yani nilichukulia poa tu

Zamani kabla ya kozi wanakuja wakufunzi wanakuambia watu lazima wafe ili iwe kozi na kweli raia wanakata kweli sasa hivi sasa
 
Mkuu imebidi nicheke tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…