Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

hiyo hali inakutokea mara ngapi kwa mwaka wastani
 
Hawataoenda zanzibar,Kule wanaendaga kwenye kozi za Surgent,Koplo na n.k,Nimeambiwa nafasi kule kihangaiko ni kubwa mnooo na sahiv hapapo busy so wataenda kule kihangaiko.
 
Duuuh pole sana ndugu....ushauri wangu jaribu kumshirikisha mtaalamu wa Afya akupe ushauri stahiki hapa unaweza ishia kupata rasha rasha maana hakuna alieonja hiyo fatiki ya RTS Wala kuexperience hali hiyo unayopitia mkuu
 
Hawataoenda zanzibar,Kule wanaendaga kwenye kozi za Surgent,Koplo na n.k,Nimeambiwa nafasi kule kihangaiko ni kubwa mnooo na sahiv hapapo busy so wataenda kule kihangaiko.
Uhakika mkuu japo naskia hapo Kihangahiko wanaeza pokea 6K on dis term...
 
Daaah mkuu,Toka niajiriwe na utumishi nakuwa busy sanaaa,Hivyo nashindwa pia nakosa na mda wa kutafuta info!!!!Ila update ya mwisho niliyoitoa ilkuwa sahihi kaka, Sijapata maelekezo kuwa ni tofauti na July kuripoti.
Hongera mkuu kuingia katika payroll ya serikali yetu tukufu.

Endelea kua mzalendo kwa kusimamia rasilimali za nchi yetu kupitia nafasi yako uliyopo.
 
Mkuu Asthma nakushauri usiende, cheki raman nyingine.. ni ushauri tu
 
Hongera mkuu kuingia katika payroll ya serikali yetu tukufu.

Endelea kua mzalendo kwa kusimamia rasilimali za nchi yetu kupitia nafasi yako uliyopo.
Amina sana kaka nashukuru mkuu,As long as tumeumbwa wanaume hatutakiwi kukata tamaa tusichoke kupambania ugali.
 
Mkuu yani niseme ni hali nimeirithi , naweza kusema inatokana na hali y hewa , ila tu baridi ikizidi ni mtafutano.
Sasa RTS watu wanakesha wiki6 mkuu na saiv ni kipindi Cha kipupwe upepo mkali means usiku barid ni lazma. Sa hapo huoni kwamba ni hatari. Na Kuna mabio mengi sana mkuu alaf ruti ndefu huoni kama ni hatar kwa afya yako mkuu
 
Usiingie Rts Muombe tu Mungu akupe kazi nyingine inayoendana na wewe Pole sana Mungu akuongoze
 
Sasa RTS watu wanakesha wiki6 mkuu na saiv ni kipindi Cha kipupwe upepo mkali means usiku barid ni lazma. Sa hapo huoni kwamba ni hatari. Na Kuna mabio mengi sana mkuu alaf ruti ndefu huoni kama ni hatar kwa afya yako mkuu
🙏 Asante mkuu kwa ushauri.
 
Sasa RTS watu wanakesha wiki6 mkuu na saiv ni kipindi Cha kipupwe upepo mkali means usiku barid ni lazma. Sa hapo huoni kwamba ni hatari. Na Kuna mabio mengi sana mkuu alaf ruti ndefu huoni kama ni hatar kwa afya yako mkuu
Kukesha wiki sita?😂Nna mwanangu(mtoto wa anko)yeye nafasi njennje kupata na anapenda sana sema tangu zamani mboga saba
Anatak ateme nafasi maana kila akiuliza anaambiwa huko ni kibembe
Mimi ndo nampaga hopeila yeye anaona asije kuwa kituko huko au akafa kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa RTS watu wanakesha wiki6 mkuu na saiv ni kipindi Cha kipupwe upepo mkali means usiku barid ni lazma. Sa hapo huoni kwamba ni hatari. Na Kuna mabio mengi sana mkuu alaf ruti ndefu huoni kama ni hatar kwa afya yako mkuu
Sahihi mkuu Rts mbio ndefu 42-45KM
 
Waziiii hiyo mkesha six weeks....asubuh mbio urudi unywe chai then mzigon lunch then mbio urud Kama mwepes utaoga ule ground mpaka asubuh kubeba minguzo iweke kwenye marudio hiyo kweny hizo wiki sita za mwanzo Qmm...qeee😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…