Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
-
- #1,101
Lonja za mwanzo zilikuwa hivi; Wa saba mwanzoni au kati ni kuripoti na uzalendo.Mmmh kwa hapa siwezi pinga moja kwa moja ila nitakuja na info baadae kidogo ntakapokaa na jamaa wa hapo ndani maana nakumbuka mara ya mwisho juzi tu alinambia bado hawajaanza kuingia na pengne wakaanza kuingia wa nane au tisa kabisa,,,,sababu wao pia walifikili kwanzia tareh moja mwez huu wangeanza pokelewa ila bado..
Maybe…Kama ni kweli unachosema, basi kawahi kuwa mzalendo kabla bado.
Ana mbanga mkubwa huyo, kamuwahisha mapema ili mpaka wengine mkifika , yeye kashajua chochoro zote..
Hii hata mimi enzi za JKT, niliwahi kwenda wiki 3 kabla ya tarehe rasmi ya kuripoti.
Ma’service wakawa wananiita ‘BABA KANITUMA’ huku wanaogopa kunipiga tifu… 😂
Hahahaha noma sana bro sema nikijua kama kweli wameanza kuingia wa kupenyezwa itanipa mwanga sehem🥱
Kwa kuwa tarehe ya kuingia bado, utakayemuuliza anaweza asijue maana inawezekana ni yeye tu aliyeingia..Hahahaha noma sana bro sema nikijua kama kweli wameanza kuingia wa kupenyezwa itanipa mwanga sehem🥱
Jambo jema hili mkuu…Maybe…
Naona bora niwasanue wanaohitaji na kusikilizia,pengine taarifa inaweza kutoa mwangaza pahala
Yule dem tangu niskie kapigiwa simu nlitoa taarifa humu
Ngoja waendelee kusubiri,siku njema zinakuja
ni kweli maana ambao ninao wategemea kuwauliza ni wakufunzi so wanaweza wasijue watu kumwagika hapo n lin ila wakawa wanajua chochote kinachoendelea hapoKwa kuwa tarehe ya kuingia bado, utakayemuuliza anaweza asijue maana inawezekana ni yeye tu aliyeingia..
Sahihi pengine wakati ndio huu umewadiaJambo jema hili mkuu…
Kama kuna mtu kashaenda huko na anasubiri, basi soon tu kinawaka….
Wapambanaji wanywe maji mengi tu
Kama ni yeye tu alietangulia bas anakaa kota kwa mtu hapo yaan kama mgeni wake sio?... ndio zimeisha kuwa dalili za kuelekea kunuka ndio maana kasogezwaKwa kuwa tarehe ya kuingia bado, utakayemuuliza anaweza asijue maana inawezekana ni yeye tu aliyeingia..
Muda wowote mambo yatajipa hapo ndani wanangu dua ziwe nyingiMaybe…
Naona bora niwasanue wanaohitaji na kusikilizia,pengine taarifa inaweza kutoa mwangaza pahala
Yule dem tangu niskie kapigiwa simu nlitoa taarifa humu
Ngoja waendelee kusubiri,siku njema zinakuja
Dua nene askari Angu.. ngoja na mm niongeze matiz mtaan huku. Tutakuwq pamoja hapa kupeana updates
Koz ya tpdf hainaga rehearsal mkuu🤣🤣Dua nene askari Angu.. ngoja na mm niongeze matiz mtaan huku. Tutakuwq pamoja hapa kupeana updates
Ni kuung'ata mzigo tu😂😂Koz ya tpdf hainaga rehearsal mkuu🤣🤣
🥲😪Koz ya tpdf hainaga rehearsal mkuu🤣🤣
Kitenge au? Mm nataka kitenge mkuu huu uzi sio wa polisiKalanga baho@ulicheka nilivyo Sema mwezi wa Saba hauja isha ...very soon Tiz utalikuta
Kitenge bdo tulia mpaka sherehe ziishe.Kitenge au? Mm nataka kitenge mkuu huu uzi sio wa polisi
Sasa mlitaka wafanyeje?huo ndio ushindani maisha hayajawahi kuwa rahisi hivyo wazeeOya, hebu imagine mtu anatoka Kigoma hadi Kurasini-Dar es Salaam kwa ajili ya usaili, halafu anakosa aisee…
Huko ni kujila ambapo mwisho wake ni kuacha kabisa kuomba habari za majeshi 😬
Kitenge bdo tulia mpaka sherehe ziishe.
Wakuu vipi speech ya mgeni rasmi huko inasemaje?Ni kuung'ata mzigo tu😂😂
Hajalaumiwa mtu mzee…Sasa mlitaka wafanyeje?huo ndio ushindani maisha hayajawahi kuwa rahisi hivyo wazee