Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mmmh kwa hapa siwezi pinga moja kwa moja ila nitakuja na info baadae kidogo ntakapokaa na jamaa wa hapo ndani maana nakumbuka mara ya mwisho juzi tu alinambia bado hawajaanza kuingia na pengne wakaanza kuingia wa nane au tisa kabisa,,,,sababu wao pia walifikili kwanzia tareh moja mwez huu wangeanza pokelewa ila bado..
Lonja za mwanzo zilikuwa hivi; Wa saba mwanzoni au kati ni kuripoti na uzalendo.

Wa nane kati au tisa mwanzoni (kwa kutegemea muda wa uzalendo) kozi inaanza..

Lonja hazijapotea sana, ukweli upo hapo katikati (8 na 9) 😀
 
Kama ni kweli unachosema, basi kawahi kuwa mzalendo kabla bado.

Ana mbanga mkubwa huyo, kamuwahisha mapema ili mpaka wengine mkifika , yeye kashajua chochoro zote..

Hii hata mimi enzi za JKT, niliwahi kwenda wiki 3 kabla ya tarehe rasmi ya kuripoti.

Ma’service wakawa wananiita ‘BABA KANITUMA’ huku wanaogopa kunipiga tifu… 😂
Maybe…
Naona bora niwasanue wanaohitaji na kusikilizia,pengine taarifa inaweza kutoa mwangaza pahala
Yule dem tangu niskie kapigiwa simu nlitoa taarifa humu
Ngoja waendelee kusubiri,siku njema zinakuja
 
Hahahaha noma sana bro sema nikijua kama kweli wameanza kuingia wa kupenyezwa itanipa mwanga sehem🥱
Hahahaha noma sana bro sema nikijua kama kweli wameanza kuingia wa kupenyezwa itanipa mwanga sehem🥱
Kwa kuwa tarehe ya kuingia bado, utakayemuuliza anaweza asijue maana inawezekana ni yeye tu aliyeingia..
 
Maybe…
Naona bora niwasanue wanaohitaji na kusikilizia,pengine taarifa inaweza kutoa mwangaza pahala
Yule dem tangu niskie kapigiwa simu nlitoa taarifa humu
Ngoja waendelee kusubiri,siku njema zinakuja
Jambo jema hili mkuu…

Kama kuna mtu kashaenda huko na anasubiri, basi soon tu kinawaka….

Wapambanaji wanywe maji mengi tu
 
Maybe…
Naona bora niwasanue wanaohitaji na kusikilizia,pengine taarifa inaweza kutoa mwangaza pahala
Yule dem tangu niskie kapigiwa simu nlitoa taarifa humu
Ngoja waendelee kusubiri,siku njema zinakuja
Muda wowote mambo yatajipa hapo ndani wanangu dua ziwe nyingi
 
Kalanga baho@ulicheka nilivyo Sema mwezi wa Saba hauja isha ...very soon Tiz utalikuta
 
Oya, hebu imagine mtu anatoka Kigoma hadi Kurasini-Dar es Salaam kwa ajili ya usaili, halafu anakosa aisee…

Huko ni kujila ambapo mwisho wake ni kuacha kabisa kuomba habari za majeshi 😬
Sasa mlitaka wafanyeje?huo ndio ushindani maisha hayajawahi kuwa rahisi hivyo wazee
 
Back
Top Bottom