Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Miaka 24 kilo 85! Ulikuwa unakula nini mkuu?

Anyways, punguza kwanza uzito, maana kwa kilo hizo, JKT tu hutoboi… UTAKUTWA NA MIPRESHA YA HATARI….

Au kwanza tafuta nafasi ya Jkt, utaenda kupungulia hukohuko (kwenye zile wiki za uzalendo tu) 😅…

Baada ya hapo henya huku ukisubiri ajira, ikiwa bahati yako, utapata tu…
 
jamani mm nina miaka 24 na pia nina elimu ya chuo kikuu area ya uhasibu ninataka kwenda JWTZ je nitaweza maana nina kitambi kiasi na 85kg hivi? maana wa mawazo tafadhari
Miaka 24 kilo 85! Ulikuwa unakula nini mkuu?

Anyways, punguza kwanza uzito, maana kwa kilo hizo, JKT tu hutoboi… UTAKUTWA NA MIPRESHA YA HATARI….

Au kwanza tafuta nafasi ya Jkt, utaenda kupungulia hukohuko (kwenye zile wiki za uzalendo tu) 😅…

Baada ya hapo henya huku ukisubiri ajira, ikiwa bahati yako, utapata tu…
 
Hapana mm jkt nimeshapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…