Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
-
- #161
Ukweli mchungu sana huu, mnoooJW hamna simu wala nn ukiwa kikosini unaitwa tuu ofisini uondoke ukaripoti na ukiwa mtaani ndugu yako aliekufanyia mchongo atakupa taarifa.Ajira za jw ni michongo tu 99.99% kama una connection tunza damu karibuni tuu wanachukua tena kimyakimya. sisi watoto wa maskini walitudanganya kwa kutangaza kumbe ni sìasa
Mwezi huu mkuu.. kaa tayariVp viongozi kimya sana humu ndani tupeane update yanayojiri
Sasa yupi tumuamini hapa huyu anasema watu walishaitwa mwaka Jana kimya kimya huyu anasema mwezi huu Sasa ipi uhakikaMwezi huu mkuu.. kaa tayari
Wewe ujiongezi nafasi zilitangazwa mwaka jana na sasa inaelekea mwaka...kama kulikuwa na ulazima na uhitaji wa makamanda lazima watu wawe wameshaajiriwa...tofauti na hapo utakuwa unasubiri meli uwanja wa ndege...tumia common sense.Sasa yupi tumuamini hapa huyu anasema watu walishaitwa mwaka Jana kimya kimya huyu anasema mwezi huu Sasa ipi uhakika
Kweli lakiniWewe ujiongezi nafasi zilitangazwa mwaka jana na sasa inaelekea mwaka...kama kulikuwa na ulazima na uhitaji wa makamanda lazima watu wawe wameshaajiriwa...tofauti na hapo utakuwa unasubiri meli uwanja wa ndege...tumia common sense.
Duh kwaio kwa umri uo hata update connection hupati?daah nmeingia na 23 nmetoka na 26 sahiz nina 28 mtaa interview zote ndoige ya umri ,,,,, yeyote anayehitaj ulinzi anitafute nipo hapa kijana mtiifu
hata ukiwa na 35 mzee sifa ni connection tuu unaingia,akat tupo jkt kuna jarida tuliletewa kikosini Gen Mkunda kipindi ni mkuu wa mafunzo alikuwa anamuhoji mmama alikuwa na miaka 45 halafu yupo kwente kozi ya rts na alimaliza vizuri tuuDuh kwaio kwa umri uo hata update connection hupati?
duu..h wacha nitafute connection kwanza ikiwezekan nilishiehata ukiwa na 35 mzee sifa ni connection tuu unaingia,akat tupo jkt kuna jarida tuliletewa kikosini Gen Mkunda kipindi ni mkuu wa mafunzo alikuwa anamuhoji mmama alikuwa na miaka 45 halafu yupo kwente kozi ya rts na alimaliza vizuri tuu
Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili kusudi moyo uelee vijana mpo hapo!!!Ngoja tusubiri mwezi huu nao tuone labda mambo yatakuwa vizurii
Tupe lonja mkuu David 001... mwezi huu uhakika au?Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili kusudi moyo uelee vijana mpo hapo!!!
[emoji28][emoji28]hakuna ajuaye tusubiri tu kwa maana inafika wakati tunakata tamaaTupe lonja mkuu David 001... mwezi huu uhakika au?
Ni kweli mkuu.. ngoja tusubir[emoji28][emoji28]hakuna ajuaye tusubiri tu kwa maana inafika wakati tunakata tamaa