Kwani ushaitwa mzee😂du mkuu basi naona nishakosa kwend jw😟, mtaani nako hakueleweki, kusubir mpk 2026, duuh na umri nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ushaitwa mzee😂du mkuu basi naona nishakosa kwend jw😟, mtaani nako hakueleweki, kusubir mpk 2026, duuh na umri nao.
mkuu na hio inachukua mda gani kuipata ,mana naona soon wataend rts, alafu ninawez kwend kuitafuta na muda ukawa umeshaenda na nikapoteza hela tena.Tafuta affidavit naona
Haichukui mudamkuu na hio inachukua mda gani kuipata ,mana naona soon wataend rts, alafu ninawez kwend kuitafuta na muda ukawa umeshaenda na nikapoteza hela tena.
watu wana hadi 40 wanaingia usiwe na wasiwasi mda bado upodu mkuu basi naona nishakosa kwend jw😟, mtaani nako hakueleweki, kusubir mpk 2026, duuh na umri nao.
Kwenye ishu ya majina ya kwenye vyeti, kuna aina tatu za uandikaji wa majina, ambazo zote zinatambulika kisheria kutokana na matumizi yake…wakuu ivi mfano jina kwenye vyeti vyote ni
SYLVESTER J SYLVESTER ZUNGU
,ila kwenye nida
SYLVESTER JOHN NZUNGU, hii vipi c nitarudishwa huko kwenye usaili?
Mkuu vp ambao mzazi anatumia jina lengine lkn we kakuandikisha jina lengine. Mfano mzazi anaitwa JOHNSON JUMA MNAZI ambapo jina lake la mwisho sio la ukoo bali ni la babu yake. Lkn mtoto akaniita SILVESTER JOHNNY SINS🤣 na jina ambalo lipo kwenye vyeti vyote ndo hilo ambapo mi mtoto kaniandikisha jina la ukoo yani SINS ambalo ye halitumii na pia jina lake yeye ni JOHNSON Lkn mi kaniandikisha JOHNNY. Sasa vp hyo kwenye cheti Cha kuzaliwa hawawez zingua watakopoona jina la baba ni JOHNSON JUMA MNAZI Lkn mi mtoto jina la baba natumia JOHNNY SINS. Sjui kama utakua umenielewa swali langu mkuu maan nmeandika kwa kirefu sana nmeshindwa kufupisha🥴🥴Kwenye ishu ya majina ya kwenye vyeti, kuna aina tatu za uandikaji wa majina, ambazo zote zinatambulika kisheria kutokana na matumizi yake…
a) IDADI YA MFANANO WA MAJINA
Naomba niandike kwa kutumia mifano;
Tuseme jamaa anaitwa Aidan Idfonce Teresphor Kibada..
Njia za kuandika jina hilo;
Aidan Idfonce Kibada (Cheti cha kuzaliwa)
Shuleni, akakutana na mtu anajina linalofanana na hilo la juu, hapo sheria inamruhusu kuliandika vinginevyo.
Hapo ndipo unakuta wengine majina yao katikati yana INITIALS, mfano;
Aidan I. Kibada
Hii itatumika kama hiyo shule (darasa) lina wanafunzi wawili tu, wenye majina yanayo fanana…
Kama yupo mwingine,
Hapo utampata mwenye jina la;
Aidan I. T. Kibada (Initials katikati zipo mbili)
Wakiwa zaidi, utampata mwenye hili;
Aidan I. Teresphor Kibada na kadhalika…
Tukirudi kwenye kesi yako mkuu,
Ili upate kitambulisho cha NIDA, ni lazima zichukuliwe taarifa zako za KUZALIWA…
Hivyo, NIDA yako ni lazima iendane na CHETI CHA KUZALIWA…
Sasa, kama nida yako ni tofauti na vyeti vya taaluma, hiyo ni kutokana na ulivyoandikishwa shule, labda walikuwepo wengi wenye majina kama yako…
b) RUHUSA YA KITAALUMA
Ukienda vyuoni, transcript zinaandikwa kwa kuanza kwa majina ya mwisho (surname), na kuishia kwa jina la mwanzo (linaandikwa kwa kutumia initials)
Mfano;
Mwamba anaitwa SILVESTER JOHN SILVESTER ZUNGU,
Chuoni ataitwa; ZUNGU SILVESTER J..
Chuoni Initials haziongezeki kwa sababu, nyuma huwa zinatangulia namba za usajili na kozi unayosoma, so automatically huwezi kufanana na mtu..
Mfano; MD667 ZUNGU SILVESTER J
Mwingine ataitwa, MD 688 ZUNGU ZILVESTER J…
Kinapokuja kuandikwa cheti cha chuoni sasa (Hapo kitaandikwa kama ambavyo vimeandikwa vyeti vyako vya kitaaluma)
C) RUHUSA YA NDOA
Kuna watu wanatumia majina ya waume zao ambayo ni tofauti na yao ya kuzaliwa…
Huyu ni lazima jina lake na la baba yake yawepo kwenye cheti, kisha anakuwa na AFFIDAVIT ya kumruhusu kutumia majina yote; kwa kuzingatia kwamba, anaweza kutengana na mwenzake.
Mfano; amezaliwa anaitwa ASIA ABDALLAH KAZUMBA, akaolewa na ISSA ABASI MNAZI…
Huyu anaweza kuitwa ASIA MNAZI (kwenye cheti kipya, kama alienda kusoma, akaandikwa ASIA ABDALLAH MNAZI - Jina la baba yake na ubini wa mume wake)
Akitengana na mume wake, kiasili au kimazingira (kifo/talaka), anaruhusiwa kutumia jina lake la awali…
Hapo ndipo atathibitishwa kwa AFFIDAVIT
Hivyo, kwa maelezo yoooote hayo, kisheria JINA LAKO HALINA SHIDA kama NIDA na CHETI cha kuzaliwa vipo sawa…
Na kama majina yako yaliyopo kwenye vyeti vya kitaaluma, yapo yote/baadhi kwenye cheti cha kuzaliwa
Ili liwe tatizo, Kuzaliwa na Nida ingekuwa SILVESTER JOHN SILVESTER ZUNGU, halafu vyeti vya taaluma ukaitwa SILVESTER JOHNSON SILVESTER ZUNGU..
Kisheria, huyu SI WEWE…
Hiyo ni kisheria, SIJUI KUJUSU TPDF kama utakuwa sahihi, au laa…
Ila nimeandika sana, NIPENI MAUA YANGU 😀
Mkuu maua unyauka ila Hongera kwa udambuaji huu😂😂 vp mtu Nida na birth certificate Akisomeka LUCAS MPILI JUMA....alaf vyeti vya taaluma Anasomeka LUCAS JUMA MPILI...Kwenye ishu ya majina ya kwenye vyeti, kuna aina tatu za uandikaji wa majina, ambazo zote zinatambulika kisheria kutokana na matumizi yake…
a) IDADI YA MFANANO WA MAJINA
Naomba niandike kwa kutumia mifano;
Tuseme jamaa anaitwa Aidan Idfonce Teresphor Kibada..
Njia za kuandika jina hilo;
Aidan Idfonce Kibada (Cheti cha kuzaliwa)
Shuleni, akakutana na mtu anajina linalofanana na hilo la juu, hapo sheria inamruhusu kuliandika vinginevyo.
Hapo ndipo unakuta wengine majina yao katikati yana INITIALS, mfano;
Aidan I. Kibada
Hii itatumika kama hiyo shule (darasa) lina wanafunzi wawili tu, wenye majina yanayo fanana…
Kama yupo mwingine,
Hapo utampata mwenye jina la;
Aidan I. T. Kibada (Initials katikati zipo mbili)
Wakiwa zaidi, utampata mwenye hili;
Aidan I. Teresphor Kibada na kadhalika…
Tukirudi kwenye kesi yako mkuu,
Ili upate kitambulisho cha NIDA, ni lazima zichukuliwe taarifa zako za KUZALIWA…
Hivyo, NIDA yako ni lazima iendane na CHETI CHA KUZALIWA…
Sasa, kama nida yako ni tofauti na vyeti vya taaluma, hiyo ni kutokana na ulivyoandikishwa shule, labda walikuwepo wengi wenye majina kama yako…
b) RUHUSA YA KITAALUMA
Ukienda vyuoni, transcript zinaandikwa kwa kuanza kwa majina ya mwisho (surname), na kuishia kwa jina la mwanzo (linaandikwa kwa kutumia initials)
Mfano;
Mwamba anaitwa SILVESTER JOHN SILVESTER ZUNGU,
Chuoni ataitwa; ZUNGU SILVESTER J..
Chuoni Initials haziongezeki kwa sababu, nyuma huwa zinatangulia namba za usajili na kozi unayosoma, so automatically huwezi kufanana na mtu..
Mfano; MD667 ZUNGU SILVESTER J
Mwingine ataitwa, MD 688 ZUNGU ZILVESTER J…
Kinapokuja kuandikwa cheti cha chuoni sasa (Hapo kitaandikwa kama ambavyo vimeandikwa vyeti vyako vya kitaaluma)
C) RUHUSA YA NDOA
Kuna watu wanatumia majina ya waume zao ambayo ni tofauti na yao ya kuzaliwa…
Huyu ni lazima jina lake na la baba yake yawepo kwenye cheti, kisha anakuwa na AFFIDAVIT ya kumruhusu kutumia majina yote; kwa kuzingatia kwamba, anaweza kutengana na mwenzake.
Mfano; amezaliwa anaitwa ASIA ABDALLAH KAZUMBA, akaolewa na ISSA ABASI MNAZI…
Huyu anaweza kuitwa ASIA MNAZI (kwenye cheti kipya, kama alienda kusoma, akaandikwa ASIA ABDALLAH MNAZI - Jina la baba yake na ubini wa mume wake)
Akitengana na mume wake, kiasili au kimazingira (kifo/talaka), anaruhusiwa kutumia jina lake la awali…
Hapo ndipo atathibitishwa kwa AFFIDAVIT
Hivyo, kwa maelezo yoooote hayo, kisheria JINA LAKO HALINA SHIDA kama NIDA na CHETI cha kuzaliwa vipo sawa…
Na kama majina yako yaliyopo kwenye vyeti vya kitaaluma, yapo yote/baadhi kwenye cheti cha kuzaliwa
Ili liwe tatizo, Kuzaliwa na Nida ingekuwa SILVESTER JOHN SILVESTER ZUNGU, halafu vyeti vya taaluma ukaitwa SILVESTER JOHNSON SILVESTER ZUNGU..
Kisheria, huyu SI WEWE…
Hiyo ni kisheria, SIJUI KUJUSU TPDF kama utakuwa sahihi, au laa…
Ila nimeandika sana, NIPENI MAUA YANGU 😀
Ngj ni jaribu ku summerize majina kwenye cheti Cha kuzaliwaMkuu vp ambao mzazi anatumia jina lengine lkn we kakuandikisha jina lengine. Mfano mzazi anaitwa JOHNSON JUMA MNAZI ambapo jina lake la mwisho sio la ukoo bali ni la babu yake. Lkn mtoto akaniita SILVESTER JOHNNY SINS🤣 na jina ambalo lipo kwenye vyeti vyote ndo hilo ambapo mi mtoto kaniandikisha jina la ukoo yani SINS ambalo ye halitumii na pia jina lake yeye ni JOHNSON Lkn mi kaniandikisha JOHNNY. Sasa vp hyo kwenye cheti Cha kuzaliwa hawawez zingua watakopoona jina la baba ni JOHNSON JUMA MNAZI Lkn mi mtoto jina la baba natumia JOHNNY SINS. Sjui kama utakua umenielewa swali langu mkuu maan nmeandika kwa kirefu sana nmeshindwa kufupisha🥴🥴
Najua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..Ngoja waje wanaojua vinavyopimwa huyu ndugu yetu labd haijui RTS
Umesahau testicles mkuu🥴Najua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..
=>B.P
=>Hepatitis B&C
=>SYPHILIS.
=>HIV/AIDS
=>EYE/EAR
=>MUSCLES AND BONE ARRANGEMENT.
=>Weight.
=>FEET PRINT.
=>ANUS MUSCLES.
=>TEETH ARRANGEMENT.
=>Malaria.
=>VEIN DISTRIBUTARIES..
VINGINE: NIFUATE Pm
😂😂😂Kwelii umenikumbushaUmesahau testicles mkuu🥴
Huyu SI WEWE mkuu, atafute tu affidavit 😀Mkuu maua unyauka ila Hongera kwa udambuaji huu😂😂 vp mtu Nida na birth certificate Akisomeka LUCAS MPILI JUMA....alaf vyeti vya taaluma Anasomeka LUCAS JUMA MPILI...
Huyu yafaa awe na kiapo si ndio?
Kaka fikra zako hizo naona uishiwi kuunda contradiction 😂😂Huyu SI WEWE mkuu, atafute tu affidavit 😀
Uhalali wa majina yako unaangaliwa MAJINA YAKO yanayosoma kwenye CHETI CHA KUZALIWA…Ngj ni jaribu ku summerize majina kwenye cheti Cha kuzaliwa
Jina la mtoto: SILVESTER JOHNNY SINS
jina la baba: JOHNSON JUMA MNAZI
NOTE: 1. baba ye anatumia JOHNSON
Lkn mtoto kamuandikisha JOHNNY
2.Baba jina lake la mwisho anatumia la babu yake na sio la
ukoo ambalo ni MNAZI
3.Mtoto anatumia la ukoo ambalo ni SINS
Hapo nadhani ntaeleweka kidogo wakuu
Khiii, haya 😀Kaka fikra zako hizo naona uishiwi kuunda contradiction 😂😂
Hapo Hepatitis hapo, ndo wengi wanapokutwa UNFIT…Najua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..
=>B.P
=>Hepatitis B&C
=>SYPHILIS.
=>HIV/AIDS
=>EYE/EAR
=>MUSCLES AND BONE ARRANGEMENT.
=>Weight.
=>FEET PRINT.
=>ANUS MUSCLES.
=>TEETH ARRANGEMENT.
=>Malaria.
=>VEIN DISTRIBUTARIES..
VINGINE: NIFUATE Pm
Jina langu la cheti Cha kuzaliwa linafanana kabisa na la vyeti vya shule. Lkn imebid Mzee wangu anichukulie affidavits ili kuapa kwamba JOHNNY SINS na JOHNSON JUMA MNAZI ni mtu mmoja yani yote ni majina yake vp hapo Kuna haja ya kwenda na hyo affidavits au ntakua nimejila. Na je vp nichukue affidavits kwaajili ya NIDA sababu wameongeza herufi "i" mwishoni mwa jina langu ambayo haitakiwi kuepo mfano vyeti vyangu vyote vimeandikwa ABDUL lkn wao NIDA wameandika ABDULI. Ebu nipe muongozo hapo mkuu🥴🥴Uhalali wa majina yako unaangaliwa MAJINA YAKO yanayosoma kwenye CHETI CHA KUZALIWA…
Kitakachotofautisha majina ya cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma ni namna ya uandikaji tu (kwa urefu au ufupi), lakini majina ni yale yale…
Ukiona jina zima zima limehama (na hakuna initials) huyo SI WEWE…
Ukiona jina zima limebadilika (kama JOHNY kwenda JOHNSON au kinyume chake)
Huyo SI WEWE…
Zingatio: Chimbuko la majina yako halisi ni CHETI CHAKO CHA KUZALIWA…
Hivyo, baba yako anaweza kuitwa jina lingine, lakini wewe ukaandikishwa cheti cha kuzaliwa kwa jina lingine ambalo hili ndilo litakalotumika shuleni..
Mfano; jina la babu yangu, ni DAMAS MICHAEL NTUJIRI (Means baba yangu alitakiwa atumie jina hilo na ndilo lipo kwenye cheti chake cha kuzaliwa)
Lakini lilikoandikishwa kwenye cheti changu, ni jina lingine kabisa, la kiarabu 😀 (baada ya kusilimu)
Watu wana watu mkuu..[emoji1]Kwani ushaitwa mzee[emoji23]
Bless sana mkuuNajua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..
=>B.P
=>Hepatitis B&C
=>SYPHILIS.
=>HIV/AIDS
=>EYE/EAR
=>MUSCLES AND BONE ARRANGEMENT.
=>Weight.
=>FEET PRINT.
=>ANUS MUSCLES.
=>TEETH ARRANGEMENT.
=>Malaria.
=>VEIN DISTRIBUTARIES..
VINGINE: NIFUATE Pm