Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Japo naskia TMA kwa Military science ni miaka 3 ila hawa wa Regular course ni miezi 9 had mwaka....
 
mimi juz , mshua wangu alikuwa anachonga na brigedia mmoja, kastaafu mwaka jana, sasa mshua ananipambania niingie, sas mshua yeye hajafika level za wakubwa wenzie , yule brigedia akawa anamwambia yeye mwenyewe ana watoto wanne 4, wamemaliza chuo na hawana kazi, nae anawapambania waingie, ila hatoi hat sh mia, hataki kutoa wanawe waingie, akasema na ikishindkna watoto wake watafanya kaz nyingne sio lazma wawe kama yeye, japo kun mwanaye alishampitisha yuko tma anapiga nyota, na tena kwa msaada wa mabeyo, sasa brigedia akamwambia mzee kama vipi aende DODOMA 3. dml 2. cp , mtu wa ajila 1. jeneral mwenyew mgunda , kwasababu inakuwa ii kama ombi tu, mzee akasema aweeee 😂😂😂, hapa nasubiri miujiza tu wakuu.
 
mimi juz , mshua wangu alikuwa anachonga na brigedia mmoja, kastaafu mwaka jana, sasa mshua ananipambania niingie, sas mshua yeye hajafika level za wakubwa wenzie , yule brigedia akawa anamwambia yeye mwenyewe ana watoto wanne 4, wamemaliza chuo na hawana kazi, nae anawapambania waingie, ila hatoi hat sh mia, hataki kutoa wanawe waingie, akasema na ikishindkna watoto wake watafanya kaz nyingne sio lazma wawe kama yeye, japo kun mwanaye alishampitisha yuko tma anapiga nyota, na tena kwa msaada wa mabeyo, sasa brigedia akamwambia mzee kama vipi aende DODOMA 3. dml 2. cp , mtu wa ajila 1. jeneral mwenyew mgunda , kwasababu inakuwa ii kama ombi tu, mzee akasema aweeee [emoji23][emoji23][emoji23], hapa nasubiri miujiza tu wakuu.
Nimecheka had napaliwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi juz , mshua wangu alikuwa anachonga na brigedia mmoja, kastaafu mwaka jana, sasa mshua ananipambania niingie, sas mshua yeye hajafika level za wakubwa wenzie , yule brigedia akawa anamwambia yeye mwenyewe ana watoto wanne 4, wamemaliza chuo na hawana kazi, nae anawapambania waingie, ila hatoi hat sh mia, hataki kutoa wanawe waingie, akasema na ikishindkna watoto wake watafanya kaz nyingne sio lazma wawe kama yeye, japo kun mwanaye alishampitisha yuko tma anapiga nyota, na tena kwa msaada wa mabeyo, sasa brigedia akamwambia mzee kama vipi aende DODOMA 3. dml 2. cp , mtu wa ajila 1. jeneral mwenyew mgunda , kwasababu inakuwa ii kama ombi tu, mzee akasema aweeee 😂😂😂, hapa nasubiri miujiza tu wakuu.
😂😂😂 Haya mambo ni magumu....Ila kila la kheri utaenda inshallah 🙏🏽
 
😀 😀 Mungu akutangulie mkuu... Hivi hii issue ya kutoa hela ina uhakika au ni kama betting tu?
 
Hizi mambo hizi kama betting imekweka over unatoka under ukiweka under 2.5 dk ya 7 score board inasoma 1-1 😂😂😂
 
Nimecheka had napaliwa,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
haya mambo noma snaa, na sio kwamba hana hela , mpunga anao ila amesema hatoi rushwa yoyote, wakishindwa kumsaidia waache, akasema mbna anamwanaye ni director wa nyimbo anaitwa (JOMA),kapambana kwenye mishe nyingine na katoboa 😂.
 
unapotoa hela hakikisha na mbanga mwenyewe awe mkweli, ivi mnajua kuwa mbanga zinazidia uwezo, simaanishi uwezo wa cheyo, hapa nazungumzia nafasi.
😀 😀 Mungu akutangulie mkuu... Hivi hii issue ya kutoa hela ina uhakika au ni kama betting tu?
 
haya mambo noma snaa, na sio kwamba hana hela , mpunga anao ila amesema hatoi rushwa yoyote, wakishindwa kumsaidia waache, akasema mbna anamwanaye ni director wa nyimbo anaitwa (JOMA),kapambana kwenye mishe nyingine na katoboa 😂.
Kitu ambacho wengi hawajui, MASOJA wengi wakubwa, hawataki watoto wao wapite huko…

Kwetu tuna WASOJA wawili, wakubwa, ila watoto tunapuyanga tu 😀

Baba’angu mkubwa ni 2-star general, ila aligoma kumpigania mwanaye, now mwanae ni KOPLO wa magereza…

Shangazi yangu ni KANALI, mwanae mwizi kinyama…Kashawahi kufumua Wayaringi nyumbani kwao, nyumba nzima…Mama’ke akataka kumpiga bastola 😀..

Yupo jirani mmoja, kwa kuwa anajua kinachotokea huko, mwanae alimaliza RTS mwezi wa 6 mwaka jana, Cadet yupo Msumbiji huko, kagoma kumpeleka TMA kwa kuhofia watamuua…

Sababu, yeye mwenyewe alikuwa mnaa sana enzi anapigisha RTS na TMA 😀
 
unapotoa hela hakikisha na mbanga mwenyewe awe mkweli, ivi mnajua kuwa mbanga zinazidia uwezo, simaanishi uwezo wa cheyo, hapa nazungumzia nafasi.
Sahihi, anaweza akawa BRIGEDIA ila hayupo jikoni, yani hadi apige simu…

Halafu kuna Luteni huko, yupo tume ya utumishi, au IT wa tume 😀
 
mimi juz , mshua wangu alikuwa anachonga na brigedia mmoja, kastaafu mwaka jana, sasa mshua ananipambania niingie, sas mshua yeye hajafika level za wakubwa wenzie , yule brigedia akawa anamwambia yeye mwenyewe ana watoto wanne 4, wamemaliza chuo na hawana kazi, nae anawapambania waingie, ila hatoi hat sh mia, hataki kutoa wanawe waingie, akasema na ikishindkna watoto wake watafanya kaz nyingne sio lazma wawe kama yeye, japo kun mwanaye alishampitisha yuko tma anapiga nyota, na tena kwa msaada wa mabeyo, sasa brigedia akamwambia mzee kama vipi aende DODOMA 3. dml 2. cp , mtu wa ajila 1. jeneral mwenyew mgunda , kwasababu inakuwa ii kama ombi tu, mzee akasema aweeee 😂😂😂, hapa nasubiri miujiza tu wakuu.
Inshort hakujawahi kutokea bogi ambalo linapiganiwa na watu wengi kama hili. Ukifanikiwa kuingia intake hii sali sana mpaka siku unaapa.
 
Back
Top Bottom