wakuu japo kuwa mimi nahangaikia kuingia huko ila kuna shida inanisumbua mimi mwenzenu nina kifua kubana ( asthma), yaani baridi kali huwa sipumui au vumbi, kuna baadhi ya wajeda wananambia niachane nako nisije nikafia huko, ila kuna wengine wananiambia nipambane tu, kila kitu kinawezekana, wakuu yani nakosa msimamo, mana niliwahi kubanwa tu na baridd ya kawaida mwez w 12,, kidogo nivute mazima mana nilipigwa sindano 24, ndio kikaachia , na nilikuwa nimeshaletewa mitungi ya gesi. Ushauri plz[emoji120]