Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wapo waloenda wanasema eti ni lazma upeleke pale makao makuu na si posta Wala vinginevyo hio imekaaje mkuu
Mmmh hakuna sio lazima upeleke mwenyew unaweza tuma tu kwa posta ila je hao walioenda moja kwa moja kuna sehem wamesaini je? Kam wamesaini basi ni lazima uende ila kama hawajasaini kokote tuma tu kwa posta
 
Wanasema wamesaini na nmb za simu wameacha na Kuna Maswali wanaulizwa yanajazwa kwenye PC
 
Ulipofika tu uliulizwa maswali gani labd tuone kama inawezekana kumuagiza mtu
Wanauliza form six au four,
Then unapanga mstari wa kwanza unajiandikisha kwenye daftari then unapanga foleni ya kuandikishwa kwenye pc,
Na yule anaeandikisha anasema kabisa kama umemletea mtu hakikisha unajua details zake zotee na kuna wazee walikua wanawapelekea watoto wao
 
Back
Top Bottom