Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Sasa mbanga anakuambia tuma barua kama ushahidi kua ulituma maombi Kuna haja gani ya kuchoma nauli mpk Dom.Basi kam ni ivo Hao walipeleka kwa mikono ndo first priority kuliko Barua nyngi hazisomwi ndani ko kam mtu unachance panda tu doma mwenyew