MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Hv bado watu wna dream za wanajeshi Tz hii? Au basi tu ndo wanataftua pakupumizkia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutuma kejeli bana Kwan ww upanbanii alafu side acha bhana🤣🤣🫡🫡Salute kwenu wapambanaji wote mnaosubiria kuvaa Bakabaka..
Mwehu huyo kam ana taarifa nyeti aseme 21% wamefika au bado? Nn linalosemwa huko kuhus kuanza kwa koziMh ww mkuu taarifa unazitoa wap mbona sisi tuna ma mbanga wa uhakika ma kanal wanasema wa mtaan bdo
Una uhakika kamandaKozi Msata Inaanza tarehe 7
Una wiki mbili tuu za kupiganisha,
Njee na hapo shonaaa tulia
Orjoro hakuna jambo
HIZI ZA KUAMINIKAA KABISA
Acha waendelee kubisha,Maana nawaambia humu, watu wanaendelea kupigiwa simu na wanaenda kuripoti makutupora wananibishia.Kozi Msata Inaanza tarehe 7
Una wiki mbili tuu za kupiganisha,
Njee na hapo shonaaa tulia
Orjoro hakuna jambo
HIZI ZA KUAMINIKAA KABISA
Ko oljoro vpAcha waendelee kubisha,Maana nawaambia humu, watu wanaendelea kupigiwa simu na wanaenda kuripoti makutupora wananibishia.
Upo sahihi kabisa kozi inatarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwez wa 10,Msata wanapelkwa tarehe 1 mwez wa kumi kama haitobadilika.
SIYO LONJA HII NI TAARIFA YA KWELI TAREHE 7 MWEZI UJAO GOMA LINAANZAUna uhakika kamanda
Uko sahihi chifuuuu JESHI la wanajeshiAcha waendelee kubisha,Maana nawaambia humu, watu wanaendelea kupigiwa simu na wanaenda kuripoti makutupora wananibishia.
Upo sahihi kabisa kozi inatarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwez wa 10,Msata wanapelkwa tarehe 1 mwez wa kumi kama haitobadilika.
Ww je vpSIYO LONJA HII NI TAARIFA YA KWELI TAREHE 7 MWEZI UJAO GOMA LINAANZA
Kwhyo watu waanze kozi bila kukaa uzalendo kweli hivi inakuingia akilini? Na hao watu wanaoendelea kuripoti kila siku wafike tu waanze kozi bila uzalendo?Acha waendelee kubisha,Maana nawaambia humu, watu wanaendelea kupigiwa simu na wanaenda kuripoti makutupora wananibishia.
Upo sahihi kabisa kozi inatarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwez wa 10,Msata wanapelkwa tarehe 1 mwez wa kumi kama haitobadilika.
Wanaenda msata mwez wa kumi mwanzoni kwani uzalendo sio part ya mafunzo????Kwhyo watu waanze kozi bila kukaa uzalendo kweli hivi inakuingia akilini? Na hao watu wanaoendelea kuripoti kila siku wafike tu waanze kozi bila uzalendo?
Acheni kuropoka v2 ambavyo hamna uhakika navyo bhn
Usiwe unaleta vitu usivyokuwa na uhakika navyo watu wengi sana hata usahili wa vipimo haujakamilika na bado watu wanaingia...Acha waendelee kubisha,Maana nawaambia humu, watu wanaendelea kupigiwa simu na wanaenda kuripoti makutupora wananibishia.
Upo sahihi kabisa kozi inatarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwez wa 10,Msata wanapelkwa tarehe 1 mwez wa kumi kama haitobadilika.
Kaa kwa kutulia kijana acha taarabu hazitokusaidia,Wewe jua watu wanaendelea kuripoti na kupigiwa simu tunatoa update ili wenye nia waendelee kuwasumbua mimbanga yao wasije kupitwa na kibogi hiki cha Morali.Usiwe unaleta vitu usivyokuwa na uhakika navyo watu wengi sana hata usahili wa vipimo haujakamilika na bado watu wanaingia...
Kozi mwezi wa 10 tareh 7 umeitoa wapi wewe na mwenzako huko makutupora vipimo vya damu umewafanyia wewe au wote uta wa bypass??...
Acha kuharakisha mambo kijana vitu huvijui kaa kimya maana KUKAA KIMYA MPAKA UULIZWE NI BORA KULIKO KUONGEA MPAKA UKANYAMAZISHWA.
Kwamba unapoambiwa usahili unaendelea unafikili ndio kama foleni za maji unapanga na dumu lako unakinga then unatembea?
KAMA ULIKOSA WEWE BASI ACHA ROHO MBAYA YA HUSDA KWA WALE WENYE MATUMAINI.
Daaaah kozi mwezi wa 10 tareh 7 au mmefungua gazeti lenu la udaku mnali_promote hapa
Rubbish 🚮
Anaekupa update anasema adi saivi wameripoti wangapi kwa makadilio na wamelipoti oljoro au makutopora?Kaa kwa kutulia kijana acha taarabu hazitokusaidia,Wewe jua watu wanaendelea kuripoti na kupigiwa simu tunatoa update ili wenye nia waendelee kuwasumbua mimbanga yao wasije kupitwa na kibogi hiki cha Morali.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana 😂Usiwe unaleta vitu usivyokuwa na uhakika navyo watu wengi sana hata usahili wa vipimo haujakamilika na bado watu wanaingia...