Mik Jr
Member
- Sep 7, 2024
- 89
- 79
Hakun jipya ndo mana kumepoaNaona vijana msharipoti msata kimyaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakun jipya ndo mana kumepoaNaona vijana msharipoti msata kimyaaaa.
Watu tushakubalian na matokeo✋✋✋Naona vijana msharipoti msata kimyaaaa.
S wanataka wakakae waendeleleze ujinga wanaofanya wakubw wao lakini hakuna ufanisi wowte katika kazi kama mtu yupo serious huwez. Lillian ajira lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan Vijana Wanapenda sana Ajira embu jifunzeni kujiajiri.. kwanza nafasi zile ni za wachache waachieni yaaani wako na papara balaa
KOZI INAANZA LEO OR SOMETHING ELSELEO NI MONDAY MNADHIMU MKUU PAMOJA MWAJIRI WANAENDA MSATA KO TUWE UPDATE KWA AJILI YA LONJA KUWA NINI KIMEENDELEA HUKO MSATA
Vijana waliofanyiwa usaili ndio wanaenda kusomewa waliopitaKOZI INAANZA LEO OR SOMETHING ELSE
Vijana wanaenda kusomewa waliofanyiwa usahiliLEO NI MONDAY MNADHIMU MKUU PAMOJA MWAJIRI WANAENDA MSATA KO TUWE UPDATE KWA AJILI YA LONJA KUWA NINI KIMEENDELEA HUKO MSATA
CP in the houseLEO NI MONDAY MNADHIMU MKUU PAMOJA MWAJIRI WANAENDA MSATA KO TUWE UPDATE KWA AJILI YA LONJA KUWA NINI KIMEENDELEA HUKO MSATA
Jambo kwishaYaliyojiri kihangaiko?
Watu washaanza koz au ?Jambo kwisha
Bado hawajamaliza usailiWatu washaanza koz au ?
Watu wa makambin siyo?Bado hawajamaliza usaili
Hatariii mzeeBado hawajamaliza usaili
Swali gani ilo tenaKwahiyo sisi ambao bado hatujaitwa wakuu ndo basi tena
YesWatu wa makambin siyo?
Kozi bado Leo walikuwa wanahakikiwa finger print kwenye fomu za ajiraWatu washaanza koz au ?
ya waliopita vipimo tayari sio?ndo maana yake?Kozi bado Leo walikuwa wanahakikiwa finger print kwenye fomu za ajira