Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

LEO NI MONDAY MNADHIMU MKUU PAMOJA MWAJIRI WANAENDA MSATA KO TUWE UPDATE KWA AJILI YA LONJA KUWA NINI KIMEENDELEA HUKO MSATA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan Vijana Wanapenda sana Ajira embu jifunzeni kujiajiri.. kwanza nafasi zile ni za wachache waachieni yaaani wako na papara balaa
S wanataka wakakae waendeleleze ujinga wanaofanya wakubw wao lakini hakuna ufanisi wowte katika kazi kama mtu yupo serious huwez. Lillian ajira lini
 
Back
Top Bottom