Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe n operesheni ipiKwa afande yoyote humu ambaye ataweza kuunisaidia kujiunga na jeshi hata kama sio kwa intake hii hata inayokuja tafadhali naomba tuwasiliane kupitia njia ya DM
NB.GHARAMA ZA USUMBUFU NITALIPA
[emoji120][emoji120]
OP MIAKA 60 YA JKTWewe n operesheni ipi
Up kikosi gani?OP MIAKA 60 YA JKT
Haituhusu makalio yako wewe.Sijawai kupitia wakati mgumu kupenyeza mtu chomboni kama awamu hii
Mbanga zote zilikuwa hazipokei simu
Lkn nashukuru ni mwezi sasa toka nifanikiwe kumpenyeza mdogo wake demu wangu
MUNGU wangu yamekuwa hayo tena ahahahhahahHaituhusu makalio yako wewe.
Kazi kutamanisha majobless tu humu.
SawaKwa sasa sipo.
Kwa sasa sipo kikosini
Wa Kutoka Mtaani, wameshaitwa maana yake?Sawa
Kakushirikisha Furaha yake😂Haituhusu makalio yako wewe.
Kazi kutamanisha majobless tu humu
Jiunge jeshi la sungusungu uwe kaimu kamanda operation ulinzi shirikishi mtaaHaituhusu makalio yako wewe.
Kazi kutamanisha majobless tu humu.
Huna maana kiazi wewe.Jiunge jeshi la sungusungu uwe kaimu kamanda operation ulinzi shirikishi mtaa
Upo wapi ndugu.?Astutishe bhana hawa ndo walotuambia kwamba nafas zitatoka mwezi wa 9 lkn Cha ajabu zmetoka mwezi wa 7. Asilete lonja za ksenge hapa tunataka lonja za uhakika☹️
Kesho vijana kihangaikoni wanaanza bure kitendo.
UnaUhakika na meseji Yako. ..Kesho vijana kihangaikoni wanaanza bure kitendo.
😅😅Jiunge jeshi la sungusungu uwe kaimu kamanda operation ulinzi shirikishi mtaa
Enhee mkuu leo ndo tareh28, vp kozi imeanza msata??😅Kwamba unataka ulazimishe wewe kwa matakwa yako kuwa lazima wareplace.sasa kozi inaaza tar,28