Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Mleta mada angehamia Zamfara State, Kano State au The Gambia, Senegal, Mali, Niger au hata Morocco kwenye Waislamu wote na sheria ni Shariah. Akatafute ukimbizi huko kuondokana na adha ya kuishi na Wakristo katika jamii.
 
Kazi kulalamika tu wakati hana solution au resolution. Akija na mifano ni ya mtu mmoja mmoja sana sana Ramadhani Dau na siyo jamii na mifumo. Huyu mtu ni wa kupuuzwa. Ahamie Micheweni Pemba kama Zamfara State kwa Boko Haram ni mbali
 
Majimbo ya Nigeria ya Kaskazini Waislamu ni wote na Shariah juu, lakini bado hawajaridhika wanatafuta Wakristo wahamiaji ambao ni wschache na kuwaua na kulipua makanisa yao. Hawakuishia hapo, na elimu ya darasani wamepinga . Wanataka elimu ya Mdrassah tu. Sasa wapo wapi kimaendeleo? Hamna rushwa? Kila kitu wanafanya kama Kuran inavyosema.
 
Mkuu asante sana...

Ungeiweka hoja yako Kwa kunyooka sana,ukweli halisi wa jamaa zetu hawa ni huo,japo ukweli unakuwa ni mchungu ila itabidi waupokee tuh.
 
Mkuu asante sana...

Ungeiweka hoja yako Kwa kunyooka sana,ukweli halisi wa jamaa zetu hawa ni huo,japo ukweli unakuwa ni mchungu ila itabidi waupokee tuh.
 

Asante Kwa kutujuza ya Nigeria,sisi tunaendelea na haya ya kwetu kwanza.
 
Hivi serikali kutaifisha shule za wakristo ili msome, hivi ingekuwa ndio zilikuwa za upande wenu ingekuwaje ?
Halafu bila aibu wala shukram yamekaa pale radio Imaaan yanalipwa hela kumtukana mwalimu na kuleta chokochoko za kidini.
 
Ukosefu wa uzalendo kwa wasomi ni matokeo ya mfumo mbovu wa Sheria zetu zinawaogopa maafisadi
Pili mfumo wa chekechea sekondari hadi chuo ni mfumo wa Kimagharibi ukisema magharibi zama zile una maanisha Ukristo.
Waislam Wana mfumo wao wa elimu ambao umecombine dini Quran imeeleza kila kitu.
Ambapo kwa asilimia kubwa uwafanya kuwa wafanyabiashara thus wengi wamejaa kwenye biashara.
 
Udini unakusumbua sana wewe.ndo maana una akili ndogo.
 
Hivi serikali kutaifisha shule za wakristo ili msome, hivi ingekuwa ndio zilikuwa za upande wenu ingekuwaje ?
Hizo shule ambazo zilitaifishwa walijenga wanyonyaji wakoloni.

Na walijenga Kwa jasho la wazee wetu illegally ndani ya ardhi yetu.

Sasa kama mlitaka mbakie nazo nyinyi mngejenga zenu,mbona Kuna shule nyingi tuh mmejenga baada ya uhuru kwani serikali imetaifisha?
 
Kwamba huwaoni doctors wengi mfano wa Prof Janabi,Dr DAU,Prof Assad,Prof Shivji na kadhalika ambao pia siyo wafanyabiashara?
 
Waislam wengi ni wafanyabiashara nani kakuambia Wana shida ya kukariri makaratasi darasani badala ya pesa mtaani.
Wao wanafundisha kuingiza pesa ili wajitegemee.
Waislm ndio wenye pesa kuliko wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…