Ukifikiria kwa umakini, utaona kuna ukweli katika hoja ya mtoa mada. Hakuna ubishi kuwa wakristo wengi ndiyo waliosoma na wanaendelea kusoma ila ni wachache sana wenye uadilifu maeneo ya kazi. Mfumo wa ukristo hauko serious sana kwenye kujenga maadili kwa kutumia anuani ya dhambi. Ni kama hauamini kuna maisha baada ya kufa.
Wasomi wao hawanaga muda wa kutafakari shida za wengine, ni kuiba, kunywa, kujiwekea himaya za kidunia, kula kitimoto na kufanya zinaa basi. Haya yote yangefanyika kwa kutumia pesa zao za halali, isingekuwa tabu tatizo wanaiba sana pesa za umma. List ya mahitaji yao ya kibinafsi ni kubwa sana kuliko kipato chao. Sisemi wote, ila wengi wao hizi ndio tabia zao na kama mtu anabisha basi anabisha kwa kuwa labda yeye ni mkristo.