Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Okay,back to the topic...

Lin kanisa LITASIMAMA KULIOMBA RADHI TAIFA HILI KWA KUTUZALISHIA WENGI WA WASOMI WASIO WAZALENDO?
Dr Slaa aliwahi kuonya kuwa tunatapeliwa gesi na Kikwete akishirikiana na mabeberu kupitia mikataba ya siri. Hakusikilizwa..

Baadaye Magufuli akaja kubainisha kuwa tayari hatuna gesi, ilishachukuliwa na mabeberu..

Hapa mhusika ni zao la misikitini. Siyo kila ufisadi Kanisa linahusika.

Pia, seminari za Kanisa Katoliki ni chache sana ukilinganisha na idadi ya wasomi. Mikoa mingi tu haina seminari hata moja.

Kuna wasomi wengi zaidi, Wakristo na waislamu wamesoma shule za serikali pekee kuanzia msingi hadi vyuo vikuu.
 
Wizi ufisadi na mengine yanayofanana na haya ni tabia ya mtu ni upumbavu leo kusema muislamu mwizi au mkristo fisadi
 
Nakuona jinsi unavyo jitahidi kulichafua taifa kwa lugha zako za kichochezi.
Your browser is not able to display this video.
 
How you do anything is how you everything,hakuna siku watu hawa wataacha hulka waliyoizoea
Umejitahidi kuficha ujinga wako lkn waapi wajuaji tushajua nia yako .

Hakika wewe ni zaidi ya MCHOCHEZI WA CHUKI ZA KIDINI.
 
Huyu na Fayza Fox ni watu hatari sana kwa afya ya usalama wa taifa letu la TANZANIA
 
Mkuu bado hoja yako imebase kwenye hisia, maana hujaweka uthibitisho wa ufisadi kipindi cha mzee Ruksa na Jakaya. Hoja ya mleta màda ni kuwa hata waislamuu waliopo uongozini sehemu kubwa wamesoma kanisa katholiki.
 
Huyu mtu anajulikana kuwa ni mbaguzi hatari sana wa wakatoliki
 
Endelea kupanda mbegu za kibaguzi.
Your browser is not able to display this video.
 
Wataje ili ombi lako kwa kanisa lifanyiwe kazi.
 
Mkuu wewe umemuelewa vibaya, mleta mada hajaonesha chuki yoyote, wewe unamlisha maneno!

Mleta hoja ametoa hoja ya msingi sana ambayo sio ya kupuuzwa; kuwa viongozi wengi wawe waislamu au wakristo, waliopo au waliopita wamepita kwenye shule za kanisa katholiki.

Jambo ambalo ni la kweli! Ilitegemewa kuwa hawa viongozi wangekuwa waadilifu ila wamekuja kuwa kinyume chake!

Hapo ndipo ilipo hoja ya mtoa mada!
 
Hoja ni nini huko useminar wanafundishwa kuiva!?.
 
Ingependeza kama tungepata mfano wa elimu bora kutokea upande wa jamaa zetu maana mnapenda kulalamika sanaal

Almaruhum Profesa Kighoma Ali Malima.

Profesa Mussa Assad.

Profesa Issa shivji.

Dr Ramadhan Dau.

Dr Hussein Mwinyi.

Yes,likes of that...ukiwa msomi lazima uwe msaada Kwa Taifa.

Siyo unakuwa msomi kama Profesa Ana tibaijuja af then unaiba au kupokea mgao wa wizi wa escrow...
 
Hoja ni nini huko useminar wanafundishwa kuiva!?.
Hiyo unasema wewe Sasa,tunachosimamia sisi ni kwamba takriban miongo 40 Sasa hawa wasomi wa kanisa wamekosa kuwa ma msaada Kwa Taifa hili,je kanisa haliwezi kuwa responsible Kwa KUTUZALISHIA wasomi wezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…