Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa aliwahi kuonya kuwa tunatapeliwa gesi na Kikwete akishirikiana na mabeberu kupitia mikataba ya siri. Hakusikilizwa..Okay,back to the topic...
Lin kanisa LITASIMAMA KULIOMBA RADHI TAIFA HILI KWA KUTUZALISHIA WENGI WA WASOMI WASIO WAZALENDO?
Tafsiri kwa kiswahili.😎How you do anything is how you everything,hakuna siku watu hawa wataacha hulka waliyoizoea
But, she's your president by the way.
[/QUOTEdumb as yourBut, she's your president by the way.
Mkuu pinga hoja yake, shambulia hoja yake sio mleta hoja. Siku zote mjumbe hauwawi!Mleta màda wewe Ndio mojawapo ya Waislam mnasababisha wote kuonekane Viazi tu!
Nakuona jinsi unavyo jitahidi kulichafua taifa kwa lugha zako za kichochezi.Friends and Our Enemies,
Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...
Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.
Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.
Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.
Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.
Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.
Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.
Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.
Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.
Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??
Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.
Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Umejitahidi kuficha ujinga wako lkn waapi wajuaji tushajua nia yako .How you do anything is how you everything,hakuna siku watu hawa wataacha hulka waliyoizoea
Huyu na Fayza Fox ni watu hatari sana kwa afya ya usalama wa taifa letu la TANZANIAWewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
Mkuu bado hoja yako imebase kwenye hisia, maana hujaweka uthibitisho wa ufisadi kipindi cha mzee Ruksa na Jakaya. Hoja ya mleta màda ni kuwa hata waislamuu waliopo uongozini sehemu kubwa wamesoma kanisa katholiki.Sikubaliani na hoja yako kwa sababu kadhaa.
Yawezekana proportionally kwenye uongozi na utumishi wa umma, wakristo walikuwa wengi kuliko waislam, lakini ukweli ni kwamba haijawahi kutokea wakati wowote ambapo nchi hii iliwahi kutawaliwa na watu wa dini moja au taasisi za Serikali zikaendeshwa na dini moja.
Tukiangalia kwa umakini, viongozi na watumishi wengi wa nchi, awamu ya kwanza, walifanya kazi kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu, hata maisha yao yalikuwa ya kawaida sana.
Uzalendo na uaminifu viliporomoka kwa kasi wakati wa awamu ya pili. Wakati wa awamu ya pili ndio nchi ilipokea misaada mingi na mikubwa kuliko awamu nyingine yoyote. Wastani wa misaada ulifikia dola 625 kwa kila raia lakini inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya pesa yote iliishia mikononi mwa mafisadi.
Awamu ya 3, wizi na ufisadi ulipungua kwa kiasi, lakini ukaja kupaa wakati wa awamu ya 4, na umeendelea kuwa mkubwa zaidi mpaka leo. Hawa wanaoyafanya hayo wamesoma kwenye shule za umiliki tofauti tofauti. Kwa hali ilivyo, hakuna cha muislam wala mkristo, wala mpagani, yote ni majizi. Hata ukitazama kwa uchache tu ambao ama ni wezi, mafisadi au waporaji wa mali za watu, wanaoingia mikataba ya hovyo kutokana na kupewa rushwa kubwa, unauona mchanganyiko wa wazi.
Makonda - mkristo
Majaliwa - muislam
Mbarawa - muislam
Biteko - mkristo
Mchengerwa - muislam
January - mpagani
Lowasa - mkristo
Abdul - muislam
Kinana - muislam
Bashe - muislam
Mwigulu - mkristo
Dau - muislam
Malima - muislam
Huyu mtu anajulikana kuwa ni mbaguzi hatari sana wa wakatolikiSikubaliani na hoja yako kwa sababu kadhaa.

Endelea kupanda mbegu za kibaguzi.Inawezekana kwako zikawa ni za kipuuzi,inategema na thinking capacity yako.
Well,wewe ulishaijua Nssf performance yake kabla ya Dr DAU..??
Besides Nssf ya Dr DAU ni most stable and institution na mfano wa kuigwa katika kuendesha Taasisi kisasa na kifaida.
Mfano ulio hai Hilo Daraja la kigamboni ni Zao la jitahada za Nssf ya Dr DAU,na hadi anaondoka Kwa chuki zenu za udini eti anaajiri waislam Bado limeendelea kuwa Shirika imara na lenye tija Kwa Taifa,Nssf iliyofilisika ni ipi??
Hiyo mifuko mingine yyte ilionekana vituko ikaungwa pamoja na kuwa mfuko mmoja ila Nssf ya Dr DAU ikabakia kuwa Giant Performer hadi Leo.
Tuambie kuhusu Tanesco ambao ni wasomi wa kanisa tuh wamejazana huko,Wana tija Gani Kwa Taifa hili?
Wataje ili ombi lako kwa kanisa lifanyiwe kazi.Friends and Our Enemies,
Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...
Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.
Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.
Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.
Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.
Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.
Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.
Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.
Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.
Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??
Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.
Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Mkuu wewe umemuelewa vibaya, mleta mada hajaonesha chuki yoyote, wewe unamlisha maneno!Wewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
Hoja ni nini huko useminar wanafundishwa kuiva!?.Mkuu wewe umemuelewa vibaya, mleta màda hajaonesha chuki yoyote, unamlisha maneno.
Ametoa hoja ya msingi, kuwa viongozi wengi wawe waislamuu au wakristo, waliopo au waliopita wamepata kwenye shule za kanisa la Romani katholiki.
Jambo ambalo ni la kweli. Ilitegemewa kuwa hawa viongozi angekuwa waadilifu ila wamekuja kinyume chake!
Hapo ndipo ilipo hoja ya mtoa mada!
Huyu mmoja ni mwaipopoHuyu na Fayza Fox ni watu hatari sana kwa afya ya usalama wa taifa letu la TANZANIA
Ingependeza kama tungepata mfano wa elimu bora kutokea upande wa jamaa zetu maana mnapenda kulalamika sanaal
Hiyo unasema wewe Sasa,tunachosimamia sisi ni kwamba takriban miongo 40 Sasa hawa wasomi wa kanisa wamekosa kuwa ma msaada Kwa Taifa hili,je kanisa haliwezi kuwa responsible Kwa KUTUZALISHIA wasomi wezi?Hoja ni nini huko useminar wanafundishwa kuiva!?.