THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #121
Mkuu wewe umemuelewa vibaya, mleta màda hajaonesha chuki yoyote, unamlisha maneno.
Ametoa hoja ya msingi, kuwa viongozi wengi wawe waislamuu au wakristo, waliopo au waliopita wamepata kwenye shule za kanisa la Romani katholiki.
Jambo ambalo ni la kweli. Ilitegemewa kuwa hawa viongozi angekuwa waadilifu ila wamekuja kinyume chake!
Hapo ndipo ilipo hoja ya mtoa mada!
...... Au Profesa Osoro na matumaini hewa ya tirilioni 400! Profesa Kabudi na Dawa ya Korona kutoka Madagascar! 🤣 🤣 🤣Almaruhum Profesa Kighoma Ali Malima.
Profesa Mussa Assad.
Profesa Issa shivji.
Dr Ramadhan Dau.
Dr Hussein Mwinyi.
Yes,likes of that...ukiwa msomi lazima uwe msaada Kwa Taifa.
Siyo unakuwa msomi kama Profesa Ana tibaijuja af then unaiba au kupokea mgao wa wizi wa escrow...
Exactly exactly,je haoni kama kanisa Lina hoja ya kujibu?Mkuu bado hoja yako imebase kwenye hisia, maana hujaweka uthibitisho wa ufisadi kipindi cha mzee Ruksa na Jakaya. Hoja ya mleta màda ni kuwa hata waislamuu waliopo uongozini sehemu kubwa wamesoma kanisa katholiki.
Au Profesa muongo...!!...... Au Profesa osoro na matumaini hewa ya tirilioni 400! Profesa Kabudi na Dawa ya Korona kutoka Madagascar! 🤣 🤣 🤣
Siyo kingeleza...andika vizuri Mkuu.Hivi,unajua unaona raha kuchukua mda wako kuandika gazeti hili. Binafsi na wasomaji wengine,nikiona umechanganya lugha, kiukweli siwezi kuisoma. Na hakika kuna wengine kama mimi. Kama unataka tujue umesoma, si mwanzo mwisho utumie kingeleza hicho!!!
Mkuu kwani hujui uislamu ulianzishwa na papa ili kuinyonya dunia.....Wewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
🙏 Lengo la JF ni kuelimishana, kufahishama na kueleweshana!Asante Sana Mkuu Kwa kumpa uelewa,even though nadhan kaelewa sema ni basi tuh kaamua kupinga Kwa kuwa ni ukwli mchungu kwake.
Umesema magufuli ila lile ni lifakeni limoja tu linaloendelea kuoza huko lilipo kifupi hatuna viongozi wenye kutaka mabadiliko ya kweli wengine hujivika ngozi ya mabadiliko ila ndani bado wanaendeleza ujinga na upendeleo..... Imagine alijinasibu kwamba ni raisi wa wanyonge ila wanyonge hawakupata mabadiliko yoyote kwa miaka yake basi angegusa zile sehemu ambazo hazikufikika ila nae mpka anagoma kula alikua anapiga kelele huku na kuleUnderstand this,ww msomi wa kanisa lielewe hili...Rais aliepo madarakani Hana ubavu wa kuwafanya hao wasomi waache kuiba,ndiyo maana Kuna mahakama,polisi,takukuru na kadhalika,hiyo yote ni kudeal na hao wanaojiita wasomi.
Hata magufuli ambae kwako ww unaweza sema kuwa alikuwa anapambana na ufisadi,Bado wasomi waliojaa kwenye utumishi ambao wengi ni wasomi wa kanisa hawakuisha kuliibia Taifa hili na kuingia mikataba mibovu,hadi akifika hatua magufuli akasema sijui kabudi unawafundisha Nini huko chuo.
Sisi Bado tunataka Kanisa lituambie lini litaomba radhi Kwa niaba ya wasomi wao hawa.
Alindwe au afungiwe kwenye geto linaitwa mahabusu?True, all bad roads lead to Rome. Her minions are so maltrained just to serve her and her only.
If the public seems to somehow reap the benefits, it's simply from the mercy of her leftovers -- a sort of feeding one's slaves in order not to suffer loss of their free labor.
Mtoa mada alindwe.
.
Nimefanya utafiti wa kutosha na kujithibitisha kuwa wengi wa wasomi wa kanisa wamejaa katika utumishi wa umma,na kilio kikubwa takriban miongo 40 Sasa ni wizi na ufisadi katika utumishi wa umma,na wanaofanya hivyo ni hawa WASOMI.
Kwahiyo hakuna KOSA kulihusisha kanisa na wasomi hawa.
Kwa asili binadamu wote ni wahalifu.
Binadamu Wote ni wabinafsi Kwa asili.
Binadamu Wote wanapenda kuheshimiwa na kusifiwa au kutukuzwa .
Binadamu Wote wanapenda kumiliki Mali nyingi bila kikomo.
Binadamu Wote wanapenda starehe .
Binadamu Wote wanapenda kuwa Juu ya wengine na kutawala wengine.
Binadamu Wote ni Sawa Kwa asili Yao na ubinadamu wao.
Tatizo la Wizi ,ufisadi na Matumizi mabaya ya madaraka lililojitokeza Baada ya mkoloni kuondoka halitokani na kanisa Katoliki Bali mifumo na Katiba iliyozalishwa na Chama cha Mapinduzi.
Waarabu , Wazungu,Wachina ,Wahindi Wote wameendelea SIO Kwa Sababu ya Dini Zao Bali Kwa Sababu ya Sheria Kali zinazowaadhibu wale wanaoiba na kuchezea Mali za umma.
Waarabu na wachina wakiwa kwao hawavunji Sheria Wala kukwepa Kodi lakini wachina na waarabu Hao Hao wakiwa Tanzania wanaoshirikiana na watawala kuvunja Sheria na kukwepa Kodi Tena kupitia udhaifu Wa Sheria.
Mtanzania Huwezi kwenda Italia au Saudí Arabia au China au India ukapewa Ardhi yenye Ukubwa Wa Jimbo la uchaguzi kirahisi rahisi lakini Watu Hao Hao wanatumia Sheria dhaifu inayompa mamlaka MTU mmoja kutoa maamuzi ya ardhi Yote ya Nchi . MTU ámbaye hashitakiwi anapotoa maamuzi yake ama Kwa upendeleo au Kwa maslahi Binafsi
Hapo sio Tatizo la Dini ya MTU Bali Sheria na Katiba ya hovyo inayowapa mwanya watu Wachache kufanya wanavyotaka bila kuulizwa .
Nchi Hii mpaka Sasa umetawaluwa na kuongozwa na viongozi Wa Dini mbili ambazo ni ya kiislam na Kikatoliki. Na Wote wanatumia Katiba ile ile inayowapa watawala mamlaka makubwa Kama miungu. Hata hivyo watawala Wote Hao hakuna aliyetumia Dini yake kujenga misingi ya uadilifu kupitia Sheria na Katiba Bali Karibu Wote walitumia udhaifu Wa Katiba Kwa manufaa Binafsi au manufaa ya Chama Wakati Wa uchaguzi Ili kubakia madarakani.
Kuna wasomi Wakatoliki waadilifu kama Waryoba na kuna wasomi Waislam waadilifu kama Shivj .
Kuna Wakristo waliojaribu kupinga mifumo mibovu wakapingwa sana na Waislam wengi Kwa maslahi Binafsi na pia kuna Waislam waliojaribu kupinga mifumo mibovu inayolea ufisadi lakini walipingwa sana na Wakristo wengi.
Nyuma ya Yote ni udhaifu Wa Sheria .
Mwalimu Nyerere alijaribu kutumia Mamlaka yake kupambana na genge la Wezi Kwa kuwabana bila kuweka mifumo endelevu Kwa kuanzisha azimio la Arusha kisiasa badala ya kikatiba na kisheria lakini pia ndani ya mifumo ya wasimamizi wa Sheria na watawala .
Mwinyi alikuja akiwa Muislam lakini akafanya ale Yale ya kubeba maslahi Binafsi na chama na kubaki na Katiba ile ile ya mkoloni. Matokeo yake akashindwa kabisa kuwabana Wezi na Mafisadi ambao Dini Zote zinawakataa na kidini Wezi Wa Mali za umma wanapaswa kuuawa na SIO tu kufukuzwa kazi.
Wakoloni walikuja Kama waavyokuja leo Waarabu na wahindi na Wachina.
Waarabu wakija wanawekeza lakini wanatoa huduma za kijamii kama kujenga misikiti na visima vya Maji n.k.
Wakoloni wao walijenga shule na Hospitali.
Mwarabu akijenga msikiti hajalazimushwa ni Kwa manufaa ya KAZI zake na Imani yake kudhibiti wafanya KAZI wake kupoteza muda mwingi Wa kwenda mbali Kwa ajili ya kuswali. Yote ni mbinu za Wakoloni Wa zamani na Wa Leo bila kujali Dini Zao.
Waisama ni Karibu nusu ya WATANZANIA Wote. Halikadhalika Wakristo lakini cha ajabu Wote wanaposhika Madaraka kwenye idara Zote Hawana Tena muda Wa kuweka Sheria Kali za kudhibiti Wezi Kwa kutoa adhabu Kali Bali wanatumia udhaifu Wa Sheria kuiba.
Halo utalilaumu vipi kanisa Katoliki.?
Wasomi wengi waliopo madarakani ni wale waliosoma shule za Serikali na SIO za Binafsi ikiwemo za Dini.
Wasomi waliosoma shule za Dini wengi walikua Enzi hizo ambazo Hata chuo kikuu lilikua kimoja.
Leo Dini Zote zina mashule na vyuo lakini Bado wasomi wake wanatumia udhaifu Wa Sheria za Nchi na Kubebana kupitia CCM na kulihujumu taifa na SIO kanisa Katoliki.
Tena Kanisa Katoliki Kwa muda Mrefu wamepinga sana uhuni na Wizi unaofanywa na watawala na wale wenye nafasi za Juu serikalini lakini wamekua walipingwa na baadhi ya mashekhe Kwa manufaa yao Binafsi huku wakiacha Sheria mbovu ziendelee kuwabeba wahuni .
I feel bad for you,hao uliowataja laiti ungejua status Yao ungelia sana Kwa kujisikitikia.Kuna
THE BIG SHOW
FaizaFoxy
@khataan
Hao ni watu wazima lakini ukiwasimamisha na mtoto wa nursery 'mtoto wa nursery ataonekana ana kitu kichwani
🙏Hapo kanisa halihusiki; wametumwa na kanisa kufanya ufisadi? Ufisadi kwa manufaa ya hao wasomi au kanisa?
Mtazamo wangu, chama kilichoshika hatamu Kwa tangu uhuru ndiyo tatizo, huku wakitumia katiba mbovu kujinufaisha. Ndani ya chama (CCM) kimekuwa kama kichaka Cha watu waovu, pasipo kuangalia dini.
Hapo kanisa halihusiki; wametumwa na kanisa kufanya ufisadi? Ufisadi kwa manufaa ya hao wasomi au kanisa?
Mtazamo wangu, chama kilichoshika hatamu Kwa tangu uhuru ndiyo tatizo, huku wakitumia katiba mbovu kujinufaisha. Ndani ya chama (CCM) kimekuwa kama kichaka Cha watu waovu, pasipo kuangalia dini.
Umesema magufuli ila lile ni lifakeni limoja tu linaloendelea kuoza huko lilipo kifupi hatuna viongozi wenye kutaka mabadiliko ya kweli wengine hujivika ngozi ya mabadiliko ila ndani bado wanaendeleza ujinga na upendeleo..... Imagine alijinasibu kwamba ni raisi wa wanyonge ila wanyonge hawakupata mabadiliko yoyote kwa miaka yake basi angegusa zile sehemu ambazo hazikufikika ila nae mpka anagoma kula alikua anapiga kelele huku na kule
Mkuu kwani hujui uislamu ulianzishwa na papa ili kuinyonya dunia.....
🤣🤣🤣🆒Hatuzungumzi kama wapumbavu,hivi unajua kanisa lilinufaika vipi na ule mgao wa wizi wa fedha za escrow??
Umeisahau ile skendo kuwa fedha zilienda hadi makanisani??
Kwanini mnajitoa ufaham wa makusudi kiasi Hiko?
Jibu swali langu usikimbie, nani aliyewaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao?Wasomi waliojaa kwenye utumishi wa umma ni waislam au wakatoliki??
Kama ni wakatoliki,basi bila shaka ndiyo wanaongoza Kwa wiz na ufisadi,je kanisa Halina kesi ya kujibu hapo?Kwa KUTUZALISHIA WENGI WA WASOMI WASIO WAZALENDO?
Anza kwanza kujibu la kwangu Kisha nijibu la kwako, Majibu yanategemeana hapa.Jibu swali langu usikimbie, nani aliyewaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app