THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #121
Mkuu wewe umemuelewa vibaya, mleta màda hajaonesha chuki yoyote, unamlisha maneno.
Ametoa hoja ya msingi, kuwa viongozi wengi wawe waislamuu au wakristo, waliopo au waliopita wamepata kwenye shule za kanisa la Romani katholiki.
Jambo ambalo ni la kweli. Ilitegemewa kuwa hawa viongozi angekuwa waadilifu ila wamekuja kinyume chake!
Hapo ndipo ilipo hoja ya mtoa mada!
Asante Sana Mkuu Kwa kumpa uelewa,even though nadhan kaelewa sema ni basi tuh kaamua kupinga Kwa kuwa ni ukwli mchungu kwake.