Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Oooh pole sana Mkuu kama nimeumiza hisia zako.

But,hili ni jukwaa huru kutoa mawazo yako,wapi nimeudhalilisha ukristo??

Kwani ni uongo kuwa kwenye utumishi wa umma wengi ni nyinyi??

Na je wewe unaridhika na weledi wa hao watumishi?
Wewe tatizo lako una chuki kubwa sana na Ukristo mada zako zote humu ni kuunanga Ukristo badala ya kusema kweli kuwa matatizo ya nchi yetu yameletwa na mfumu wa utawala wa CCM ambayo iko madarakani tangu tupate uhuru. Accusations zako kwa Kanisa ulitakiwa uzielekeze kwa CCM ambayo ndiyo mfumo. Makosa individual yaliyofanywa na Wakristo ukiyapa taswira kuwa ndiyo Ukristo siyo sahihi kwani hata Waislam mafisadi wapo wengi wala haihitajiki tochi kuwatafuta sasa kwa makosa yao ndiyo tuu brand Uislam kuwa ni mfumo ufisadi? Tatizo la nchi yetu ni CCM ambao wameshajipa uhalali wa kutawala milele kwa kuvuruga mifumo ya uchaguzi huru na haki ambayo ndiyo ingekuwa silaha yetu sisi wananchi kuwaadhibu pindi wakivurunda. Lawama kwa Ukristo haziwezi kuondoa matatizo sugu ya nchi hii,kama unabisha kwa hili nitahitimisha kwa kusema kuwa wewe unasumbuliwa na inferiority complex na chuki kwa Ukristo.
 
To some extent nakubaliana naww.

But to some extent wewe je haukubalian na Mimi kuwa wasomi wengi wa nchi hii ni wasomi wa Kanisa?
 
Hatari sana, someone said that all bad roads leads to Rome...

It sounds good,SI umeona hapa hata majuzi hapa PAPA kaja na Proposal Gan.
Hata ile barabara ya Mohammed kunyonya ulimi wa Hasan nayo inaelekea Rome!

Elimu ya madrassa inapunguza uwezo wa kufikiri kwa kiasi kikubwa sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??

IMG_6223.jpg
 
Thanks a lot,now let us go back to our topic...

Lin kanisa LITASIMAMA KULIOMBA RADHI TAIFA HILI KWA KUTUZALISHIA WENGI WA WASOMI WASIO WAZALENDO?
 
Unashukuru Mohammed kunyonya ulimi wa Hasan?! Ok.

Hebu tuambie, Kanisa ndio lilitoa kauli ya wale kwa urefu wa kamba zao ila wasivimbiwe?

Nikitazama hata namna unavyoandika, unavyochanganya herufi kubwa na ndogo, unaonekana dhahiri kichwani umejaa matope tu, ndio maana unatulazimisha wengine twende down ili tufanane nawe.

Wewe ni sawa na chizi unayeona sifa kutembea mtupu barabarani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hahahaa.......nilikuuliza swali mbona mapunga yamejaa Pwani, Unguja, Tanga na Mombasa bado hujanijibu unakimbia kimbia.

Mambo ya Liwati yalianzia uarabuni.
Do you think tutaweza acha kupiga vita Riwati eti kisa mwarabu pia anafanya??

Riwati ni Riwati tuh doesn't matter nani anafanya,it's true hata waarabu wengi,hata wahindi ni wafiraji kama walivyo wazungu vile vile...

Point kubwa hapa ni kwamba kitendo Hiko ni Cha kupigwa Vita bila aibu,Sasa inakuaje kiongozi wenu mkubwa kama PAPA aje kutoa Ruksa ya hiyo kitu ya Sodoma na Gomora?

Think...!
 
Unashukuru Mohammed kunyonya ulimi wa Hasan?! Ok.

Hebu tuambie, Kanisa ndio lilitoa kauli ya wale kwa urefu wa kamba zao ila wasivimbiwe?

Nikitazama hata namna unavyoandika, unavyochanganya herufi kubwa na ndogo, unaonekana dhahiri kichwani umejaa matope tu, ndio maana unatulazimisha wengine twende down ili tufanane nawe.

Wewe ni sawa na chizi unayeona sifa kutembea mtupu barabarani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Wasomi waliojaa kwenye utumishi wa umma ni waislam au wakatoliki??

Kama ni wakatoliki,basi bila shaka ndiyo wanaongoza Kwa wiz na ufisadi,je kanisa Halina kesi ya kujibu hapo?Kwa KUTUZALISHIA WENGI WA WASOMI WASIO WAZALENDO?
 
Wewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
Hoja ijibiwe tu
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
👍👏🆒
 
Back
Top Bottom