Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Mkuu wewe umemuelewa vibaya, mleta mada hajaonesha chuki yoyote, wewe unamlisha maneno!

Mleta hoja ametoa hoja ya msingi sana ambayo sio ya kupuuzwa; kuwa viongozi wengi wawe waislamu au wakristo, waliopo au waliopita wamepita kwenye shule za kanisa katholiki.

Jambo ambalo ni la kweli! Ilitegemewa kuwa hawa viongozi wangekuwa waadilifu ila wamekuja kuwa kinyume chake!

Hapo ndipo ilipo hoja ya mtoa mada!
Kanisa ndilo liliwapa elimu kisha kuwatuma wakaibe? Huo ushahidi mnao na huyu mjinga mwenzio aliyekuja na hizi ngonjera hapa?

Reasoning yenu iko poor sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Anza kwanza kujibu la kwangu Kisha nijibu la kwako, Majibu yanategemeana hapa.

Je,katika utumishi wa umma wengi ni wasomi wa kikatoliki au waislam?

Twende taratibu mwamposa...
Hauna hoja usilazimishe mambo, una ushahidi gani kanisa liliwapa elimu kisha kuwatuma wakaibe mpaka kulitaka liombe radhi?

Au palikuwepo na somo la wizi huko kwenye shule za kanisa wakafaulu?

Hujielewi, wewe ni mkurupukaji tu usiye na kitu kichwani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hatuzungumzi kama wapumbavu,hivi unajua kanisa lilinufaika vipi na ule mgao wa wizi wa fedha za escrow??

Umeisahau ile skendo kuwa fedha zilienda hadi makanisani??

Kwanini mnajitoa ufaham wa makusudi kiasi Hiko?
Escrow ilitokea katika uongozi wa nani
 
Hatuzungumzi kama wapumbavu,hivi unajua kanisa lilinufaika vipi na ule mgao wa wizi wa fedha za escrow??

Umeisahau ile skendo kuwa fedha zilienda hadi makanisani??

Kwanini mnajitoa ufaham wa makusudi kiasi Hiko?
Umeshindwa kutofautisha uadilifu wa mtu na taasisi. Ufisadi wa mtu, Kwa manufaa yake, si ufisadi wa taasisi (kanisa katoliki). Skendo ya escrow waliohusika si wasomi wa kikatoliki pekee (mapadre), ni wasomi wa dini tofauti wakiongozwa na Kikwete (muislamu).
Narudia tena, ufisadi wa nchi hii si suala la wasomi wa dini flani, ufisadi ni kukosa uadilifu Kwa jamii Bila ya kujali umetoka dini gani au kabila gani. Mbaya zaidi, kihistoria, mambo ya upigaji holela yapo sana katika tawala za kiislamu kuliko za kikristo.
 
To some extent nakubaliana naww.

But to some extent wewe je haukubalian na Mimi kuwa wasomi wengi wa nchi hii ni wasomi wa Kanisa?
You are missing the point. Hatuwezi kutibu mgonjwa bila kujua anaugua ugonjwa gani, tatizo la nchi yetu siyo Ukristo au Uislam, bali mfumo mbaya wa utawala ambapo wahujumu wa uchumi hawaadhibiwi na badala yake wanaendelea kuwepo kwenye mfumo na wakati mwingi mfumo huo huwainua hata kushika nafasi za juu zaidi ili wahujumu kwa kiwango cha juu zaidi yaani kula kwa urefu wa kamba. Kila mwaka report za CAG zinaibua ufisadi kila eneo la utawala lakini wahalifu hawashughulikiwi hivyo kutoa hamasa kwa wengine kuendelea kufisadi wakijua kuwa hakuna adhabu zaidi ya kuhamishwa eneo la ulaji. Suala la kuwa watendaji wengi ni Wakristo halina mashiko lipo kihisia zaidi kuliko uhalisia. Tatizo ni kuwa watawala ambao ni CCM wamejiwekea mfumo wa kutoweza kuondolewa madarakani ndiyo maana wanaendelea kulindana. Dini ya hawa wanaoifukarisha nchi yetu ni CCM,ibada yao ni CCM, itikadi yao ni CCM mimbari yao ni CCM. Na hivi tunavyoibua mitafaruku ya kidini wao ndiyo furaha yao kwani ile kanuni ya divide and rule ndiyo inachukua nafasi. Hapo walipo wanachekelea kuwa kumbe hawa watawaliwa hawajaamka na kuwastukia watawala. Vita ya panzi hii.
 
🤣🤣🤣👍👌👏🙏🆒
 
Kwa hiyo kama wezi wanatumia nondo kwenye wizi wao ina maana tuzilaumu kampuni za kutengeneza nondo kwa ajili ya uwepo wa wizi??....

Kabisa katholiki lilitoa elimu kwa watu ili wafunguke kiakili kwa hiyo kama mtu atatumia maarifa aliyoyapata vibaya, una maana tulilaumu kanisa

Na kama tukikubali kulilaumu ina maana halikustahili kutoa elimu je, lisingetoa elimu ina maana kiwango cha ufisadi kingekuwa tofauti??..

Vipi kuhusu wafanyakazi, mafundi na wafanyabiashara ambao hawakusoma hizo shule je, ni waadilifu??..

Na vipi kuhusu waliosoma vyuo kama UDSM ambavyo si vya dini lani ndivyo ndivyo viliwatengeneza wengi tunaowaona professionally, je tuvilaumu ?...

Na vipi hiki kizazi kilichosoma shule za serikali je, hali ipo tofauti??..
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Siyo wakatoliki tu, ongeza waLuteri na Angilikana. Wote hawa walifundisha kukariri London, Bonn na Rome wanasemaje.
 
Mkuu, Je,lini Waislamu wataomba radhi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa, utovu wa nidhamu kwa watumishi wa umma, anguko la maadili kwa vijana, uwepo wa mafisadi wengi, kwani mambo haya huwa ni disgrace kwa Taifa letu katika kila kipindi ambacho Rais anapokuwa ni Muislamu??
 
Kanisa ndilo liliwapa elimu kisha kuwatuma wakaibe? Huo ushahidi mnao na huyu mjinga mwenzio aliyekuja na hizi ngonjera hapa?

Reasoning yenu iko poor sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mfano hai ni kwenye wizi wa escrow,Nini kulikuwa nyuma ya ile ishu hadi mgao ukaenda kanisani??

Majibu tafadhali.
 
Mkuu, Je,lini Waislamu wataomba radhi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa, utovu wa nidhamu kwa watumishi wa umma, anguko la maadili kwa vijana, uwepo wa mafisadi wengi, kwani mambo haya huwa ni disgrace kwa Taifa letu katika kila kipindi ambacho Rais anapokuwa ni Muislamu??
Waislam Gani wapo kwenye utumishi wa umma??
Huko SI mmejazana nyinyi wenyewe Kwa nyie ndie WASOMI??

Sisi na elimu zetu za madrasa huko tunatakiwa?
 
Kwa hiyo kama wezi wanatumia nondo kwenye wizi wao ina maana tuzilaumu kampuni za kutengeneza nondo kwa ajili ya uwepo wa wizi??....

Kabisa katholiki lilitoa elimu kwa watu ili wafunguke kiakili kwa hiyo kama mtu atatumia maarifa aliyoyapata vibaya, una maana tulilaumu kanisa

Na kama tukikubali kulilaumu ina maana halikustahili kutoa elimu je, lisingetoa elimu ina maana kiwango cha ufisadi kingekuwa tofauti??..

Vipi kuhusu wafanyakazi, mafundi na wafanyabiashara ambao hawakusoma hizo shule je, ni waadilifu??..

Na vipi kuhusu waliosoma vyuo kama UDSM ambavyo si vya dini lani ndivyo ndivyo viliwatengeneza wengi tunaowaona professionally, je tuvilaumu ?...

Na vipi hiki kizazi kilichosoma shule za serikali je, hali ipo tofauti??..
Hayo yote hayajajibu facts.

Tunaenda kwenye utumishi wa umma HASA tukirudi kwenye kizazi Cha miongo 40 iliyopita hadi hivi Sasa.
 
You are missing the point. Hatuwezi kutibu mgonjwa bila kujua anaugua ugonjwa gani, tatizo la nchi yetu siyo Ukristo au Uislam, bali mfumo mbaya wa utawala ambapo wahujumu wa uchumi hawaadhibiwi na badala yake wanaendelea kuwepo kwenye mfumo na wakati mwingi mfumo huo huwainua hata kushika nafasi za juu zaidi ili wahujumu kwa kiwango cha juu zaidi yaani kula kwa urefu wa kamba. Kila mwaka report za CAG zinaibua ufisadi kila eneo la utawala lakini wahalifu hawashughulikiwi hivyo kutoa hamasa kwa wengine kuendelea kufisadi wakijua kuwa hakuna adhabu zaidi ya kuhamishwa eneo la ulaji. Suala la kuwa watendaji wengi ni Wakristo halina mashiko lipo kihisia zaidi kuliko uhalisia. Tatizo ni kuwa watawala ambao ni CCM wamejiwekea mfumo wa kutoweza kuondolewa madarakani ndiyo maana wanaendelea kulindana. Dini ya hawa wanaoifukarisha nchi yetu ni CCM,ibada yao ni CCM, itikadi yao ni CCM mimbari yao ni CCM. Na hivi tunavyoibua mitafaruku ya kidini wao ndiyo furaha yao kwani ile kanuni ya divide and rule ndiyo inachukua nafasi. Hapo walipo wanachekelea kuwa kumbe hawa watawaliwa hawajaamka na kuwastukia watawala. Vita ya panzi hii.

Hapana,I think wewe unayo point...

Ila huo ni mjadala mwingine tofauti kabisa na huu ambao Mimi nausimamia hapa.

CCM ni chama Cha siasa ambacho kazi yake ni kunadi sera zake ili iweze kuongoza serikali au Dola

Watumishi wa umma ambao ni waajiriwa wa CCM kama Cha siasa wametokana na usomi wao,usomi huo ni Zao la shule za kanisa takribani miongo 40 na zaidi .

In fact hata wakija chadema na chama kingine,watumishi wataowatumia ni hawa hawa,hawatatoka sayari ya Pluto.

So,hawa wasomi wetu ambao wengi ni Zao la kanisa Bado Wana wajibika kulitia kanisa matatani...
 
Mfano hai ni kwenye wizi wa escrow,Nini kulikuwa nyuma ya ile ishu hadi mgao ukaenda kanisani??

Majibu tafadhali.
Mgao upi ulienda kanisani? Pesa kupewa padri kama zawadi na rafiki yake haiwezi kuwa pesa ilienda Kanisani.

Hebu tuambie kanisa lipi lilipokea pesa ya Escrow officially? kisha somebody akapokea kwa niaba ya hilo kanisa? usiropoke tu kishabiki.

Au hutaki mapadri wawe na marafiki? na kama unaona issue ya Escrow ilikuwa tatizo, tuambie; nani alikuwa kiongozi wa nchi wakati ule? na kwanini akanyamaza kimya? au kanisa ndio liliwafundisha ndugu zako katika imani kuwa dhaifu ili liombe radhi pia?!

Majibu tafadhali.

Hapa unakiri ndugu zako katika imani wakiongoza nchi huwa dhaifu sana, ndio maana mmeishia kulalamika miaka yote, hamna vitendo vyovyote, hata kujenga nursery school hamuwezi, sembuse vyuo na mahospitali!

Back
Top Bottom