Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena[emoji113]
Acha ujinga wa kujiita mnyonge wewe, shwain!Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena[emoji113]
Kumbe wanyonge bado mpo tu mpaka kwenye awamu hii ya sita! Ni lini mtakubali kutoka kwenye huo unyonge wenu? Au huo unyonge kwenu ni mtaji?Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Zile ziara za mwendazake zilikuwa za kujijenga kutawala zaidi ya miaka 10.
Tatizo tumekariri kwamba changamoto ni huku chini tu vijijini, Inamaana kwako wale wafanya biashara waliokwama mpakani na mahindi yao sio changamoto?Ila mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.
Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Mtoto wa kiume umeweka Picha ya mwanamkeIla mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
Wakatambikewonyonge nendeni Chato mkajiulize
Wametapeliwa miaka yote hawashtuki tuuu.Wakatambike
Kwani hayo mahindi yameruhusiwa, utaratibu bado ule ule wa vikwazo, ukitaka kuingiza mahindi Kenya lazima yapimwe pimwe kwanza, tuna Rais dhaifu na naive kupita wakati wote...Tatizo tumekariri kwamba changamoto ni huku chini tu vijijini, Inamaana kwako wale wafanya biashara waliokwama mpakani na mahindi yao sio changamoto?,
Ila mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu