PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za kishindo?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naunga mkono hoja.
 
Kuna mhuni kule fb alitangaza nafasi 33 za wadunguaji (snipers) sasa sijui alikuwa anataka kuwapa majukumu gani
 

Attachments

  • Screenshot_20251106-215712.jpg
    40.7 KB · Views: 14
Labda atazunguka kambi zote za jeshi
Sahihi kabisa. Huwezi kiwashukuru watu ambao hawakukupigia kura. Waliomuweka madarakani kwa hila na kwa mtutu wa bunduki, ndiyo wanastahili kutembelewa na kupewa shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…