Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

Zanzibar kuna nini? Hapo kungekua hata na mafuta tu muungano ingeshakufa kitambo, hao watu ni wachoyo vibaya sana
Nani kakwambia Zanzibar hakun mafuta? Watanganyika ni majizii; wanamendea rasilimali za Zanzibar kama mafisi.
 
Tanganyika ipo na imevaa KOTI LA MUUNGANO
 
anawaongoza kwa wanayoyaridhia tu, kwa wasioyaridhia hatoweza kamwe kuwaongoza
Jitathimini upya kwa uwezo wa kufikiri,yani watu wako chini yako alafu unasubiri waridhie.mbona linapokuja suala la maslahi ya zanzibar hasubiri hao watu waridhie? Hiyo ni janja janja yenu tu na tushastuka, mbna yule aliyesema zenji tuingie na passport hakumkemea yeye kama rais na mwenyekiti wa chama? Why?kwa sababu maslahi ya zanzibar yalikuwa salama
 
Nani kakwambia Zanzibar hakun mafuta? Watanganyika ni majizii; wanamendea rasilimali za Zanzibar kama mafisi.
Iyo ripoti ya mafuta ya zanzibar imetoka lini?nionyeshe,pili lini umesikia sisi tunaenda zanzibar kuchukua chochote zaidi ya wao kutaka mgao kwenye kitu wasichochangia, tatu hujui kama zra yao kule? Sisi ndo tunagharamia muungano wao kazi yao kufaidi tu mkuu embu fatilia kisha rudi tujadiliane tena
 
Nimezipenda sana Hoja zako Mkuu!
Niliwahi kuzungmza na Mpemba mmoja! Nikamuuliza kuwa Je ni kipi rahisi kati ya Mhaya kuishi Ngome Kongwe au Mpemba kuishi Kihesa Iringa?! Alinijibu kwa uwazi kabsa kuwa Mpemba kuishi Kihesa Iringa ni rahisi na anaweza kuishi hata zaidi ya miaka 10 ila Mhaya nikienda kuishi Ngome Kongwe utakutana na fitna mpaka basi!
Wazanzibar kwa sasa wamepata nguvu zaidi ya kutumia rasilimali za Tanganyika kuliko hata watanganyika wenyewe!
 
Kweli kabisa mkuu
 
Katika uongozi wa miaka mi3 ya Rais Samia kati ya kero 25 za muungano mbazo maraisi wote waliopita waliona zina changamoto kero 22 zimeshatatuliwa, kutatuliwa kwa kero hizo 22 matokeo ndio haya unayoyaona Zanzibar miradi mikubwa Kila sehemu barabara kuu zote zimefumuliwa na kujengwa upya hata zile za mtaani/ vichochoroni pia zimeanza kujengwa, masoko makubwa yanajengwa, hospital za wilaya na mkoa Zanzibar yote zimejengwa upya, shule za sekondariy na msingi zile kuu kuu mithiri ya chuo zinajengwa bila kusahau utitiri wa wazanzibar waliojaa kwenye ajira hata kwenye hizi taasisi zisizo za muungano¹ni matunda ya hizo kero zilizotatuliwa.

Samia ni Rais wa wazanzibar.
 
Kweli kabisa mkuu
Kama wanadhani kuna Mkinga amekaa zake Njombe anakula pesa za Mpemba kutoka kwenye zao la Mwani, basi wanakosea sana! Zanzibar inanufaika na Mlima Kilimanjaro ila je Tanganyika inanufaika nini kutoka Hifadhi ya Taifa ya Jozani?!
 
hoja kama hizo ndo wazanzibar hawazitaki wao wanataka chako chetu changu changu
 
Na mbaya amekuja kuharibu sehemu mbili tu ambazo ndo inaonesha wazi kuwa sio Rais wa Tanganyika!
Suala la bandari pamoja na suala la Ngorongoro, binafsi huwa najiuliza sana, hivi angeweza kweli kuwapataia mkataba waarabu kwenye bandari za Zanzibari? Angewapatia waarabu bandari za Malindi, Mkoani. Shumba, Fumba, Mangapwani pamoja na Wete? Angempa maelekezo Akif Ali Khamis kuwa aende Dubai kutia saini au kwenda kuwahamisha wapemba pale forodhani kuwa anataka kuinda banuwai na maliasili?! Haya mambo yanatia hasira sana!​
 
Sasa kibaya ni kwamba ukifanya utafiti hapa Tanganyika hakuna ambaye anataka huu muungano! Jaribu kuuliza raia uone ukweli wa mambo1
Huo ndo ukweli ila mamlaka zinapindisha. Hata mm binafsi muungano siutaki
 
hakuna alichokifanya cha ziada kuhusu zanzibar, kila alichofanya kipo ndani ya misingi yetu ya muungano, Watanganyika mumezoea kuwanyonya zanzibar, akitokea mtu akajaribu kutenda haki kwa mujibu wa sheria hizi hizi zilizopo hua munaanza kupiga kelele
 
Zanzibar ndiyo imeinywa Tanganyika.Asante uzeni kila kitu kabla hawajamka,wakiamka wakute hata chenji hamna.
 
hakuna alichokifanya cha ziada kuhusu zanzibar, kila alichofanya kipo ndani ya misingi yetu ya muungano, Watanganyika mumezoea kuwanyonya zanzibar, akitokea mtu akajaribu kutenda haki kwa mujibu wa sheria hizi hizi zilizopo hua munaanza kupiga kelele
Kweli kabisa mkuu. Mitanganyika ni minyonyaji zaidi ya wanyonya damu. Kama kweli hawainyonyi Zanzibar na kuikalia kimabavu, kwanini hawaipi uhuru ijitawale? Mizombi hii inatusumbua sana aisee!
 
hakuna alichokifanya cha ziada kuhusu zanzibar, kila alichofanya kipo ndani ya misingi yetu ya muungano, Watanganyika mumezoea kuwanyonya zanzibar, akitokea mtu akajaribu kutenda haki kwa mujibu wa sheria hizi hizi zilizopo hua munaanza kupiga kelele
Una uhakika hakuna alichofanya zanzibar?anachofanya huyo ni kupendelea zanzibar wazi wazi kwa janja janja ya ubovu wa katiba, sisi tunanyonya nini zanzibar zaidi ya nyinyi kutaka gawio pasipo kuchangia chochote. Haki gani anayofanya zaidi ya kuuza rasilimali za upande mmoja na kuacha za upande wa pili
 
Je Jiwe hakuwa akiipendelea Tanganyika waziwazi? mbona hamkulalamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…