Empedocles
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 151
- 192
Kama huelewi kilichoandikwa Kaa kimyaJaboja, umekunywa ngapi leo mwanangu au umevuta bangi. Sasa ndiyo nini umesema na unajibu nini na nani? Tafadhali acha bangi.
Labda nikuongezee dini gani iliyokudanganya na kueneza chuki? Labda utaelewa kidogoJaboja, umekunywa ngapi leo mwanangu au umevuta bangi. Sasa ndiyo nini umesema na unajibu nini na nani? Tafadhali acha bangi.
ZoteLabda nikuongezee dini gani iliyokudanganya na kueneza chuki? Labda utaelewa kidogo
Wewe mbona hukai kimya?Kama huelewi kilichoandikwa Kaa kimya
Huwa nachukia sana ninaposikia eti Waafrika wanadai fidia. Stupid!!!Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii.
Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na kufuta mila zetu za maana. Kutokana na hali hii, Afrika ni kama mbuzi aliyefundishwa na fisi kula nyama na akaanza kuwatafuna watoto wake mwenyewe.
Rejea chuki za kidini, migogoro ya kisiasa baina ya nchi na nchi na uoza mwingine mwingi. Ni Waafrika tu wasiotumia majina yao au tuseme waliopoteza utambulisho wao. Akiitwa Mwafrika, kwa walio wengi mbali na wale walioshikilia mila zao, kabla ya kumuona, ima utajua ni mwarabu au mzungu, mkristo, au muislam.
Ajabu, zaidi ya ardhi, madini, utajiri, na vyakula vyetu, hawa waliotuhadaa kutuibia, wanachukia kila tulicho nacho kuanzia rangi yetu hadi mila zetu. Je ni lini tutawabana lau watufidie vinginevyo tuwapige marufuku kwenye bara letu? Je, kwa uzwazwa tulio nao, tutaweza?
NAOMBA KUWASILISHA WANANGU.
Huwa nakaribia kutapika kusikia wabaguzi wakisema waafrika wasidai fidia. Foolish.Huwa nachukia sana ninaposikia eti Waafrika wanadai fidia. Stupid!!!
Kwa sababu naelewa kilichoandikwaWewe mbona hukai kimya?
Kumbe ulielewa Sasa jibu swali je wenye chuki za Mali wakadai fidia wapi?Zote
Utakuwa wewe uliniuzia Hy bangi acha kuuza bangiJaboja, umekunywa ngapi leo mwanangu au umevuta bangi. Sasa ndiyo nini umesema na unajibu nini na nani? Tafadhali acha bangi.
Chuki ipo katika watu na sio dini.Zote
We uoni hio misaaada tunayopewa si ndo fidia yenyeweHuwa nakaribia kutapika kusikia wabaguzi wakisema waafrika wasidai fidia. Foolish.
Hakuna jambo linafanikiwa bila sadaka hata kwa shetani bila sadaka huwezi kupata utakachoNikukumbushe tu kwamba hizo dini bado wanajitwalia sadaka kutoka kwa waamini walima vibarua na wavuja jasho.
Wapo wanaojiita mitume na manabii hapo bila hela hutii shoo. Yaani mleta mada umeleta uchonganishi jukwaani
ZipiNa zenyewe zilitawaliwa kwani nazo zilishaomba fidia kwa waliowatawala?