Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
 
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Wewe unataka aongelee mambo asiyoyajua ili nini?
 
Hata lissu sijawahi msikia akijadili haya uliyohoji zaidi ya kutaka Tanzania inyimwe misaada na uchaguzi.
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Mama anaongea kwa vitendo sio hizo porojo za tonetone kutoka CHADEMA. Subirini mwaka 2350 mkiingia madarakani mtakuwa mnapiga hizo porojo.
 
Kw
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Kwa knowledge gani sasa?
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Mimi sijawahi labda kwa kuwa sizsikilizagi mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom