Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
SIKU MKIJUA KWA NINI NA WAAMBIA KUWA SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM basi mtakuwa mmepata majibu ya samia ni kiumbe gani.
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
No way
 
Anapaswa kuzungumzia katiba mpyaa hata kwa hotuba ya kuandikiwa aeleze katiba mpya ni nini na ina umuhimu gani kwa nafasi yake
Kwa mfano Sasa hivi vijana (wahitimu wa vyuo vikuu) wakiitwa kwenye usaili unagundua kabisa kuwa Kuna tatizo kubwa Sana la ajira mpya nchini.

Kwa ivo angalau Rais siku moja azungumzie mtazamo wake anafikiri tatizo la ajira nchini litatatuliwaje.
 
Kama ataweza kufanya hayo bila kusaidiwa na Polisi.
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
An argument without supporting evidence is just a waste of time.
 
Mambo makubwa yanajadiliwa na akili kubwa sasa division 0 iliyopanda vyeo kwa vimemo itaweza kweli?

Nilikuwa napiga story na raia wa Kenya na Ghana wanashangaa sana Samia aliwezaje hata kuwa makamu wa rais achilia mbali urais wenyewe.
 
Back
Top Bottom