Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

A
ccm wana upumbavu mwingi sana, kituko gani hiki walituletea?? akina bashiru Ally walikuwa sahihi kabsa kutaka kupindua katiba.
ADhabu ya kuvunja Katiba ya nchi katika muktadha ule isingewapendeza wengi..
 
Raisi wetu ni mhalifu namba moja. Sijawahi kumsikia akikemea matukio ya utekaji na uuaji yanayoendelea nchini.

Sijawahi kumsikia akiwaamuru Polisi kuwaleta wakiwa hai watu wote waliopotezwa/ kutekwa
Angefanya hivi hakuna mtanzania angepotea au kutekwa. Kauli tu ingeliponya taifa.Halafu CCM inatuletea tatizo kama hili uchaguzi wa october.Inasikitisha.Kikwete God sees you
 
Kukemea siyo kufoka foka mdogo wangu. Rushw huwa inakemewa kidayansi. Jpm na usjamba wake alikemea kwenye medi kujionesha tu ila akina makonda wamepiga hela ndefu sana kipindi chake na akina sabaya wamefilisi sana wafanya biashara. Samia anakemea rushwa kwa kujenga uchumi ili kila mtu apate ajra.

Kwa sasa hamna graduate yupo mtaani kihasara ajira kila kona provate au serikalini kitu ambacho jpm alipiga pini ajira kila kona.
Acha Ze Komedi kwenye vitu serious we pungo.
 
Acha Ze Komedi kwenye vitu serious we pungo.
Hizo ndo facts. Maguli aliifanya nchi hii ikawa danguro la watu kutembea na vyeti mtaani bila ajira. Five years no ajira, no kupandishwa mishahara, uharibifu wa biashara, kifukuza wawekezaji, kuua mazao kama lamba, korosho, tumbaku , mbolea. Kazi ya lile li jamaa ilikuwa kuwafanya watanzania waishi kama mashetani akiwaneemesha tu ndugu zake akina akina dottp, makonda, sabaya na familia yake tu
 
kuna sababu kwa nini wana slogan kama “kazi na utu” au “kazi na bata” , kwa utu wanamaanisha utu kwa wala rushwa na mafisadi, ukiwagusa wewe hauna utu na ni katili …
 
Back
Top Bottom